Bongo Movie mnashida gani?

Move ambazo kanumba ameziasha na zinaonekana bado mpya
Moses never say never.
Oprah
Craz love
Young billionaire
Devil kingdom

Jamaa alikuwa anayaona mapenzi katika mitazamo tofauti sana hasa aliona HAKUNA MWANAMKE MWAMINIFU kwenye mapenzi/ ndoa.
Hikindichokilipelekea kuchelewa kuoa..

Hiyo no 1. Aliongea ukweli mwanamke unao mpatia madaraka makubwa kuongoza anapopingwa anaona kama anatukanwa.
No 2. Oprah inaonesha vile wema wako unavyoweza kucost mahusiano/ ndoa yako. Hii ipo sana . Fikiria kanumba anavyomla kimasihara mke wa kigosi hadi wanahama mji..

Aisee jamaa move zake alikuwa anajua tuache.
.
 
Hapo ndo wanapoteza Kila kitu
 
Uhakika jamaa alijaliwa sana kipaji
 
Mkuu, mbona unamnanga jini wetu?! Mbona yuko vizuri tu..😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…