PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 713
- 1,209
Ila bwana hayo yote sawa.Hawa jamaa miaka kama12 sijawahi waangalia siku za Hivi karibuni nilitumiwa picha na wife akisema hili ni jini la bongo
Sina shida na jini mkuu vile tu lilivyo jipaka makeup hata ingekuwa ng'ombe sawa tu maana halieleweki.Hakuna mtu aliyewahi kuliona Jini linafananaje,
So,kutumia hiyo picha kama Jini sioni tatizo lolote,
Kuhusu hayo mengine tupo pamoja.
Kweli kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo yetu kivyetu vyetu.
SijakuelewaKaangalie utoto katika kazi ya kubwa kuliko na takataka nyingine za mkojani na wengine
Nilichokiandika ni kuwa kwasasa kazi zimejawa na utoto mwingi hna hakuna ubunifu Kama zamani. Nimetolea mfano wa hiyo kazi inaitwa KUBWA KULIKO na kazi nyingine za akina mkojani yaani ni utoto tu ndani yake.Sijakuelewa
Mkuu naweza kukubali maana na muda mrefu sana siangalii siku hizi wife akawa anachelewa sana kuja kulala ikabidi nikaangilie Nami hakika sikufanikiwa hata dk 10 nikaona hamna kipya kabisa ukilinganisha na movie za kipnd Cha nyumaIla bwana hayo yote sawa..
Ila kuna watu wanajitahidi sana sasa hivi...
Shout out to LAMATA na JIMMY wana tamthilia Tamu sana .....Jua kali ,Huba ,Kapuni na nyingine nyingi
Sasa shida ni nini hadi umeanzisha uziSina shida na jini mkuu vile tu lilivyo jipaka makeup hata ingekuwa ng'ombe sawa tu maana halieleweki.
Hata nikihama Nchi mkuu Bado ubunifu upi chini sana hivo kuhama kwangu hakuta changia lolote. Tubanane hapa hapaHama nchi kama umechoka
UbunifuSasa shida ni nini hadi umeanzisha uzi
NakubaliDar to Lagos
She's my sister
Hizi movie achana nazo kabisaaa
Movie za kina mkojani ni kwa ajiili ya watoto, ukitaka movie check DSTV na AzamTv, kidogo wanajitahidiNilichokiandika ni kuwa kwasasa kazi zimejawa na utoto mwingi hna hakuna ubunifu Kama zamani. Nimetolea mfano wa hiyo kazi inaitwa KUBWA KULIKO na kazi nyingine za akina mkojani yaani ni utoto tu ndani yake.