michael western
JF-Expert Member
- May 7, 2014
- 544
- 259
Yaani kuandaa movie ni process ndefu, ila unakuta mpaka majina ya movie ya hovyo, mi nikiona jina la movie au wimbo siyo kiswahili sanifu sina hamu tena kuangalia najua tu walioandaa ni vilaza.
Kuna movie inaitwa "Milembe" ila maudhui ni Mirembe. Kuna moja "Chizi karogwa tena". Nadhani kiswahili sanifu ni "Chizi kalogwa tena".
Tuna waigizaji vilaza.
Kuna movie inaitwa "Milembe" ila maudhui ni Mirembe. Kuna moja "Chizi karogwa tena". Nadhani kiswahili sanifu ni "Chizi kalogwa tena".
Tuna waigizaji vilaza.