Bongo Movie (Combined) vs Safarina Movie

Sisi filamu zetu ni low budget tena tunatumia teklnolojia duni kama walivyoanza wanaijeria au wahindi lakini angalau tunapiga hatua serikali ikiwapa sapoti bongo movie tutafika mbali Hollywood hawajaanza movie Marne hii wametoka mbali Sana
 
Tatizo bongo movie, kuanzia waigizaji hadi watengenezaji haiwachukulii tasnia ya filamu kama taaluma. Wao wakishapaga poda wanajichukulia wana vipaji vya kuzaliwa visivyohitaji elimu. Mwisho wa siku..........
wange jifunza siri ya mtungi tu.hakuna vitu vingi wametumia asilia.ukicheki utazani wametumia pesa ya kufa mtu
 
Bongo mtu bunduki moja haiishi risasi mpaka mwisho wa muvu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…