Bongo Movie (Combined) vs Safarina Movie

Sisi filamu zetu ni low budget tena tunatumia teklnolojia duni kama walivyoanza wanaijeria au wahindi lakini angalau tunapiga hatua serikali ikiwapa sapoti bongo movie tutafika mbali Hollywood hawajaanza movie Marne hii wametoka mbali Sana
 
Tatizo bongo movie, kuanzia waigizaji hadi watengenezaji haiwachukulii tasnia ya filamu kama taaluma. Wao wakishapaga poda wanajichukulia wana vipaji vya kuzaliwa visivyohitaji elimu. Mwisho wa siku..........
wange jifunza siri ya mtungi tu.hakuna vitu vingi wametumia asilia.ukicheki utazani wametumia pesa ya kufa mtu
 
Hivi bongo movie kuna movie yoyote kuna uharibifu wa mali kama magari na nyumba??

Au kuna movie yoyote kuna upigaji wa risasi kama live vile?

Au ushiriki wa waigizaji wanaovaa kama JWTZ na vifaa vyao kama vifaru, makombola na mabomu hata ya kutupa kwa mkono?
Bongo mtu bunduki moja haiishi risasi mpaka mwisho wa muvu
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom