Bongo move nusu yao ni hamunazo

Sasa hapo si alizirai vidole vimejikunja hahaaaa. Niliacha kitambo kuangalia bongo movies
 
wanaigiza popote walipo ndio maana hawauzi kazi zao
 
Bongo move - bongo movie / filamu za wabongo / filamu za watanzania. / wanafilamu wa Tanzania.
 
Show off Kwa sanaaaa

Unakuta Mtu eti hana kazi ya maana yenye kuweza kumpatia kipato cha uhakika Kwa kila mwezi (fixed income earners) lakini anataka kuishi maisha ya gharama ya mashindano

Saluni za gharama, Nguo za gharama, sehemu ya kutembea Kwa miguu au kupanda daladala lakini atapanda tax

Wengi wao wamekuwa kam matapeli madeni kila halali!
Kwenye maswala ya maadili mema ndo balaaa!
Kwa Kweli hadi huruma !
 
Afadhali wale wa zamani wale wa kipindi cha mchezo wa "mambo hayo"

Wale walikuwa wakijiheshimi sana mfano akina Waridi, Aisha, Bishanga Bashaoga etc wale walikuwa na utulivu Mashallah !
Wale walikuwa hawajichubui wala kunywa Maji mengi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…