Bongo Lounge in Guangzhou, China

Hongereni wakuu...tukipata watu 2 kila nchi kama nyie, tayari hatutawahitaji kina Dadamond tena!
 
safi sana! hofu ya kulishana konokono na jongoo bila shaka haitakuwepo tena!!
 
Sisi wataalam wa china, pale Guangzhou tunakula chakula cha kibongo long time😂😂
Ukiingia kwa dada Kulwa pale tinxiu building ugali na vikorombwezo vyote vinapatikana muda wote na kama msosi umeisha basi unapikiwa.
 
hivi kutoka bongo hadi hapo ndege ya bei poa kabisa ni kiasi gani? cc:

bunally Rashid
 
Last edited by a moderator:
Naamini kisamvu, mlenda, ndimu, mtori nk ni bidhaa zisizokosekana hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…