Bongo Life's Vs Ughaibuni (Majuu)

You won't be asked for ID because there is really no way to verify whether your ID is real or fake. You might get searched, and if they find something illegal you simply need to pay someone off and you're free. Is this the best place to be?
You talk about musicians becoming millionaires, by what standards? Are you saying that we should all pursue a career in music because of the $$? What about those that aren't talented musically, or gifted in the sports department? Making it in the entertainment industry and sports industry is very difficult wherever you are, and even more difficult to remain successful/relevant for that matter.


 
Kwa kiswahili hapo ndo ulimaanisha?? Tafsiri tafadhali.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
majority ya wanaoishi ughaibuni dizain stress tupu raha kupiga piga picha kuonesha maghorofa, barabara nzuri za huko n.k ila hamna kitu..jamaa ameacomplish goals, many of his goal, including personal and professional still anabeba maboksi is kubeba maboksi a profession? wengi wanaishi kiujanja janja tu..paid lower than minimum age coz of no paperwork..hata usome vipi still low waged to working at lousy super markets with their masters...hahahahahaha...no offence im just sayin what av witnessed...tho...
 
unajua mie naona maisha ni sawa tu cuz hata hizo nchi zilizoendelea ukienda na elimu yako still hawatakupa uraia unless uolewe na mtu au uoe mzungu so mie kusema ukweli naona kama shida za tanzania its ok as long as am at home sihitaji kutafuta uraia maana wazungu wanatunyanyasa sana so Home is best kama ni umaskini we r already born poor na ukiangalia ni makosa ya viongozi wetu kibaya zaidi vijana wa tz waoga so perhaps ndio tulivyopangiwa cuz hata huko nje mambo yamebadilika kila siku watu wanarudi na kusema nje pia pagumu
 
unachosema kweli kabisa its just stress out there and its good for those who have no professional imagine unamasters and all ur life ww ni kubeba maboksi tu is it accomplishing ur goals ,hawa watu ndio wanaodanganya watu huku kuwa nje maisha mazuri hapo sijaongelea stress za kuulizwa ID just watch on youtube about uk on UKBA (just type uone the way foreigner wanavyonyanyaswa)
 
Kwa kiswahili hapo ndo ulimaanisha?? Tafsiri tafadhali.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

humu usicomment ,kitu bana! we sema tu
yes!
yes!
huku unatikisa tikisa kichwa kuonyesha msisistizo!
 
Good for you
 

samahani mkuu,bongo uliondoka miaka ipi?80's or 90's?
 
Shule wanazo afford sio shule nzuri .it cost a lot of money kumsomesha mtoto Kwenye good school.shule zinaenda na zip code .kama unakaa Kwenye neighborhood Za ajabu mtoto wako atasoma zip code hiyo .Bongo una hela unachoice wapi mtoto aende.private shule extremely expensive .molestation kwa sana Huku USA ,abuse ,bunduki njenje
 
Home kutamu kinachotukimbiza security.nimepona kufa kijingajinga zaidi ya mara tatu.nimekabwa mara nne,nimechomwa chupa tumboni,nimeingiliwa na majambazi mara 3.ajali mara 3 ya mwisho kupona ni mungu tu.nimerogwa hesabu nishasahau,nimeumwamalaria na kuuziwa vidonge fake zaidi ya mara kumi.nimekamatwa na polisi na kubambikiwa kesi zaidi ya mara tano.sasa hapo ntaipenda bongo kwa kipi.mtoa mada anasema wengi tumekimbia kwasababu hatuku-achieve goals(kuwa na kazi,kuoa,kujenga)thats nosense,wengine tuliondoka tukiwa na vyote hivyo lakini bado security hakuna.
Well,i prefer ughaibuni.hamna longolongo,follow the rules and life become smooth and clear.ukizungumzia burden,thats life here. U want to do somethn big go take loan bank.as long as you work.sasa kwa nini usitumie hizo chance km zipo.nyie endeleeni kukaa bongo.maisha ya huko mnayaweza wenyewe.ntakuja km mtalii
 
samahani mkuu,bongo uliondoka miaka ipi?80's or 90's?

Sio mwaka background yake .labda maisha yake yoote amekaa mwananyamala ya Enzi hizo .no swimming pool ,no car ,asubuhi chai na maaandazi mchana ugali na magarage .mtu huyu akija USA atakuaje pata picha
 

What's wrong with you? Go and have a bit of life.

 
Last edited by a moderator:
nitaeleza kwa pande mbili kwa mtizamo wangu

1,majuu wapo juu hapa
-walioko majuu wanainjoi vitu bora zaidi kuliko sisi,mimi nitaingia uwanja wa mao tse tung kuangalia mpira wacha 1 anaingia emirates,wanapanda treni za umeme sisi za mwakyembe,mi naingia mc moodys kugonga burger nyani ngabu anazama mc donalds,kila kitu bora kimewazunguka,mabarabara majumba watu nk nk

pia wanakuwa wa kwanza kutumia mambo mapya,ma-playstation,ma-ipad,na ma kilakitu yanaanzia huko

2.wanyumbani hapa wapo juu zaidi
--wa nyumbani wapo juu linapokuja suala la kuwa na kumiliki vitu,wangapi wanaweza kumiliki nyumba ulaya?wangapi wanaweza kununua ma-vogue wakiwa ulaya?wangapi wanaweza kuwa na biashara,ofisi na makampuni yao wenyewe wakiwa ulaya?na hili wabongo wengi wameshaliona ndio maana zile ndoto za majuu siku hizi ni kidogo sana kuliko ilivyokuwa zamani

ni mtizamo wangu,nakaribisha hoja zenye kujenga
 
Kaka it depends na your childhood upbringing.kuna mtoto wa vingunguti,masaki,mikocheni ,upanga,manzese,Tabata.msasani .kuna waliozaliwa Kwenye chumba kimoja(. Baba mama mtoto wanalala kupika kula chumba Kimoja choo watu 20 ) mtoto aliekuwa mazingira Kama haya akija USA anakuwa motivated na anajua Tanzania wazazi wake wanamtegemea inakuwa mgumu sana schedule yake inakuwa tight( lakini in USA if you work hard I mean harder regardless unapotokea you will be somebody ).Na kuna mwingine anetoka tanzania 10 bedroom house ,drivers ,na anasomeshwa na wazazi na pocket money analetewa( huyu akija USA ni anaona mateso hayupo motivated na anaona mateso tu kwa sababu USA you have to work hard to live in a good neighborhood and to shop in organic food grocery stores .
 
Vijukuu wanapeta popote.

Vilaza hata mbinguni watachemsha.
 
Home is home .Kama wewe ni mtanzania your home is Tanzania.Invest in Tanzania instead ya kufinance gari nyumba tv fridge radio .Usa by the time ukimaliza mortgage unamiaka 80 .Home is home
 
Home is home .Kama wewe ni mtanzania your home is Tanzania.Invest in Tanzania instead ya kufinance gari nyumba tv fridge radio .Usa by the time ukimaliza mortgage unamiaka 80 .Home is home

Natalia nimeanza kukupenda!umekuwa na busara!asante Natalia,mi ni mtanzania,nipo tanzania,naendeleza tanzania,natengeneza ajira tanzania,naelimisha tanzania!tanzania is my everything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…