Bongo kuna demokrasia bana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo kuna demokrasia bana!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Sep 3, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  View attachment 63710
  Mitaa ya Mbezi Barabara ya Kawe-Africana , jamaa nafikiri alitembea kwa muda mrefu sana akaamua kupika ugali kwenye pavement bila bugudha toka kwa mtu yeyote.
  Barabara hii ukitaka mahindi ya kuchoma ndo penyewe utafikiri ukoMbinga!
   
 2. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,260
  Likes Received: 10,249
  Trophy Points: 280
  Ndio tofauti ya wao na sisi.
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mambo ya sisiemu hayo mkuu.
  Full amani yani.
  Wangekua wale jama wa maandamano wangemwambia alipe kodi!
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Bhaaaaaasi!
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Demokrasia gani hiyo ya hapo Bongo? ni uchafu wa mazingira Mkuu masopakyindi Ughaibuni hii kitu hakuna kabisa barabarani.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  uchafu na ujingwa .. Hakuna mwenye uchungu na nchi.. Watu hawapendi shule wewe unategemea nini?
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  tuna maji ibao ila kitendo cha kusafisha barabara na kuondoa vumbi barabarani tu seriali sijui manispaa imeshindwa.. Mimi naweza kusema kuwa hatuna viongozi
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Tuna Vioo Ngozi mkuu!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  hiki kitendo kimefanywa na mtu wa darasa la saba
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Tatizo lako unaangalia mbele badala ya mbali
   
 11. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Mkuu Bongo kuna demokrasia ya ajabu sana maana mambo yanafanyika hadharani bila hata serikali kuchukua hatua zozote.
  Nitaleta picha zaidi za matukio kama haya hapa DSM.
   
 12. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  yaani kuuza mahindi chni ya umasikini mzito tena barabarani ninyi ndo mmeona cha kujivunia kweli elimu haiongezi busara.
   
Loading...