wabongo wanatisha yaani wakichinja kuku hawatupi kitu. wanakula kuanzia KICHWA,MIGUU,SHINGO,MGONGO,UTUMBO,NYONGO,FIRIGISI,KIPAPATIO,MAINI,MANYOA. hii ndio bongo wakuu. mnaonaje hapa?
Acha uwongo. Kila kitu? Unataja manyoya yanaliwa? Wapi?
Kile kinyesi kwenye utumbo wake mbona wanasafisha! Si wangekula bila kusafisha?
Mbona wanaachia utitiri unakimbia ?
Kila kitu?
Damu yake mbona hawakingi?
Kila kitu? Una uhakika?
Mifupa mbona wanatupa?
Hakuna cha ccm wala ukawa. Wote njaa tu. Tafuta pesa halali kwa hasira ya porini kama chui anavyofukuza swala. Hakuna kuachia pumzi mpaka unyake mshiko.