Bongo kama Babeli

Bongo kama Babeli

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,802
Reaction score
72,057
Mimi nimerudi nyumbani kupiga kura,...
Sasa nikaamua nimalizie na michakato kabla sijarudi kwenye mishe-mishe zangu,....

Leo natoka kwenye ofisi moja natembea mdogo-mdogo nikawa nahisi kama gari inatembea taratibu kwa nyuma; Sasa kila nikisogea pembeni niipishe nakuta inaendele kuja tu,....

Kugeuka nakuta Jeep inatembea taratibu; sikutilia maanani nikaeogea kabisa kwenye kingo ya barabara niko busy na simu.

Mara gari naskia horn ya gari,..mimi sina hata wazo ndiyo majama fulani kunistua oya Brother unaitwa huko nyuma.

Nageuka ni ile gari ikaja hadi mbele yangu ikashusha vioo, ndani anaendesha binti maybe she's mid 30's.
Kanisalimia nikamjibu vizuri tu,..ile sijaongea neno kesha uliza swali
kaka nakufananisha tumewahi onana?
Nkamwambia ndiyo nakuona leo,..
akasema basi samahani kwa kukusumbua nimekufananisha kwani Unaelekea wapi?

Kwanza nlicheka sana,..nikamjibu nipo around tu; akaanza kukomaa panda basi nikufikishe hata hapo mbele.

Nkamwambia dada ahsante nafika jirani tu,...
Kakomaa yeye mwenyewe yuko around,...
Nkamwambia uwe na amani wala usijali,...

Mwishowe binti wa watu kakubali akafungua pochi akanioachia bussiness card,..
Akasema nimtafute nimefanana na rafiki yake sana hadi ongea na tembea,...
Akanitajia hadi sehemu anayofanyia kazi na kuishi; kasisitiza kweli nimtafute.

Dada akatimua na gari lake,...
Ile anaondoka vijana wa pale kilingeni kumbe wamesikia wakaanza kuni-mind,..
Oooh wewe brother unazingua mtoto mzuri hivyo anakubembeleza lifti unakataa?
Eti kweli Wabongo sisi ni Malofa na Wapumbavu,...
Wakacheka pale,..Mzee hili Zari la mentali.
Moja akasema yule binti ni mtoto wa fulani,...
Mimi hata huyo mzee simjuagi...

Mwishowe nikamwachia dogo moja ile business card kwasababu alionyesha kushoboka kinoma,..
Nkapanda zangu bajaji huyo mdogo-mdogo nashangaa Dar ilivyo,...

Moyoni nikawaza sana kama trend ndiyo hii,...
Hawa vijana wetu wanaelekea wapi aisee?
Mbona wanachukulia mambo simple sana?
Mwishowe wanapatwa na magonjwa na ndoa zao zinawashinda,...

Yaani NO ETHICS AT ALL

Haha. Mwenyewe umezingua. From the story, she was only being friendly, perhaps a little flirty too. But you're already jumping into conclusions. It might not be whatchu thinking, man.

Ethics? Let's talk ethics. Giving away somebody's business card without their consent. How ethical, right?

Btw, hebu nitumie number yake nimuulize kitu.
 
kwani wewe umewaza nini hapo? si ni sawa na wewe unapomfuata chick kwa njia hizo au kwa kuwa kaanza yeye ndo imekuwa tatizo
 
Haha. Mwenyewe umezingua. From the story, she was only being friendly, perhaps a little flirty too. But you're already jumping into conclusions. It might not be whatchu thinking, man.

Ethics? Let's talk ethics. Giving away somebody's business card without their consent. How ethical, right?

Btw, hebu nitumie number yake nimuulize kitu.

No she was not being friendly,....
Kuna vitu alivifanya yule dada mle kwenye gari they are simply filthy; wala siwezi kuvisema?

On the other hand,....
Its a business card; a kid wanted to do business with her?

Sasa wewe utaombaje namba ya mtu ambaye humjui?
Is that ethical?

Ntafute PM nkwambie ni mtoto wa nani na mgahawa anopendelea kwenda huko kwao Masaki,.....

Mkuu umenikumbusha Mwanetu mmoja wa kitaa..Alitokewa na picha kama lako..Ila yy udhaifu wake ulimuelemea akaingia kwenye mtego..Baada ya muda tunakuja kusikia Mwana anadeal na drugs..Zen jamaa akaja kupotea kitaa..Hadi leo watu hawana info zake
 
Mimi nimerudi nyumbani kupiga kura,...
Sasa nikaamua nimalizie na michakato kabla sijarudi kwenye mishe-mishe zangu,....

Leo natoka kwenye ofisi moja natembea mdogo-mdogo nikawa nahisi kama gari inatembea taratibu kwa nyuma; Sasa kila nikisogea pembeni niipishe nakuta inaendele kuja tu,....

Kugeuka nakuta Jeep inatembea taratibu; sikutilia maanani nikaeogea kabisa kwenye kingo ya barabara niko busy na simu.

Mara gari naskia horn ya gari,..mimi sina hata wazo ndiyo majama fulani kunistua oya Brother unaitwa huko nyuma.

Nageuka ni ile gari ikaja hadi mbele yangu ikashusha vioo, ndani anaendesha binti maybe she's mid 30's.
Kanisalimia nikamjibu vizuri tu,..ile sijaongea neno kesha uliza swali
kaka nakufananisha tumewahi onana?
Nkamwambia ndiyo nakuona leo,..
akasema basi samahani kwa kukusumbua nimekufananisha kwani Unaelekea wapi?

Kwanza nlicheka sana,..nikamjibu nipo around tu; akaanza kukomaa panda basi nikufikishe hata hapo mbele.

Nkamwambia dada ahsante nafika jirani tu,...
Kakomaa yeye mwenyewe yuko around,...
Nkamwambia uwe na amani wala usijali,...

Mwishowe binti wa watu kakubali akafungua pochi akanioachia bussiness card,..
Akasema nimtafute nimefanana na rafiki yake sana hadi ongea na tembea,...
Akanitajia hadi sehemu anayofanyia kazi na kuishi; kasisitiza kweli nimtafute.

Dada akatimua na gari lake,...
Ile anaondoka vijana wa pale kilingeni kumbe wamesikia wakaanza kuni-mind,..
Oooh wewe brother unazingua mtoto mzuri hivyo anakubembeleza lifti unakataa?
Eti kweli Wabongo sisi ni Malofa na Wapumbavu,...
Wakacheka pale,..Mzee hili Zari la mentali.
Moja akasema yule binti ni mtoto wa fulani,...
Mimi hata huyo mzee simjuagi...

Mwishowe nikamwachia dogo moja ile business card kwasababu alionyesha kushoboka kinoma,..
Nkapanda zangu bajaji huyo mdogo-mdogo nashangaa Dar ilivyo,...

Moyoni nikawaza sana kama trend ndiyo hii,...
Hawa vijana wetu wanaelekea wapi aisee?
Mbona wanachukulia mambo simple sana?
Mwishowe wanapatwa na magonjwa na ndoa zao zinawashinda,...

Yaani NO ETHICS AT ALL

Kama una kipaji kama hiki kwa nini usiwe unatunga vitabu na kuuza? Talent unayo ila unaitumia bila kuingiza pesa ndio Ulofa na UPUMBAVU WENYEWE HUO.
 
Mkuu kuna move kama hiyo niliiona kwenye Tarehe kama23 au 24 october 2015 mitaa ya night kuelekea saa sita mimi pia nilikuwa mitaa ya NMB pale makao yake makuu mapya ulikuwa usiku wa kimya sana gari chache usiku maana club zilikuwa zimefungwa kwa sheria ya kova na uchaguzi wao...

Sasa kama nimepata picha fulani na hii story kama itakuwa ni wewe basi niliona gari imekufuata huku likipiga horn.. mimi nilistuka nikijua mtoto anataka kuelekezwa sehemu ila kwangu alikuwa mbali zaidi... mtoto wa kike alitoa kichwa nje akaanza kukuuliza maswali kama amekufanananisha Sababu nilikuwa on move nikageuka baadae kutizama tukio then baadae nikaona nisepe baada ya kusikia kamfananisha japo akili ikanijia kichwani demu anatafuta mtu wa kumkuna tu... mimi nilikuwa napita mdogo mdogo nikiwa nimetokea VIVA Tower nikapita upande ule wa NMB kuwakwepa wale vijana wanaobana kwenye kona wakisafisha vioo vya Magari ya watu pale kwenye mataa kuelekea serena hotel.... Am Sure story yako kama ni ya usiku mimi nilishuhudia....
 
No she was not being friendly,....
Kuna vitu alivifanya yule dada mle kwenye gari they are simply filthy;
wala siwezi kuvisema?

On the other hand,....
Its a business card; a kid wanted to do business with her?

Sasa wewe utaombaje namba ya mtu ambaye humjui?
Is that ethical?

Ntafute PM nkwambie ni mtoto wa nani na mgahawa anopendelea kwenda huko kwao Masaki,.....

Vitu gani sasa, did she rub her tities and what not? It's unethical and filthy, to hold information bana. Hebu funguka, ili jury ikuelewe vyema.
 
Mkuu umenikumbusha Mwanetu mmoja wa kitaa..Alitokewa na picha kama lako..Ila yy udhaifu wake ulimuelemea akaingia kwenye mtego..Baada ya muda tunakuja kusikia Mwana anadeal na drugs..Zen jamaa akaja kupotea kitaa..Hadi leo watu hawana info zake

My mum told me,
Do not talk to strangers.

Sasa umeona kaka,
Mtu humjui kwanini ulete shobo mbaya?
 
Vitu gani sasa, did she rub her tities and what not? It's unethical and filthy, to hold information bana. Hebu funguka, ili jury ikuelewe vyema.

Some things are better left untold man,...
Kwasababu sijafanya mimi na naona aibu.
 
Kama una kipaji kama hiki kwa nini usiwe unatunga vitabu na kuuza? Talent unayo ila unaitumia bila kuingiza pesa ndio Ulofa na UPUMBAVU WENYEWE HUO.

Kipaji gani hicho mzee?
 
Mkuu kuna move kama hiyo niliiona kwenye Tarehe kama23 au 24 october 2015 mitaa ya night kuelekea saa sita mimi pia nilikuwa mitaa ya NMB pale makao yake makuu mapya ulikuwa usiku wa kimya sana gari chache usiku maana club zilikuwa zimefungwa kwa sheria ya kova na uchaguzi wao...

Sasa kama nimepata picha fulani na hii story kama itakuwa ni wewe basi niliona gari imekufuata huku likipiga horn.. mimi nilistuka nikijua mtoto anataka kuelekezwa sehemu ila kwangu alikuwa mbali zaidi... mtoto wa kike alitoa kichwa nje akaanza kukuuliza maswali kama amekufanananisha Sababu nilikuwa on move nikageuka baadae kutizama tukio then baadae nikaona nisepe baada ya kusikia kamfananisha japo akili ikanijia kichwani demu anatafuta mtu wa kumkuna tu... mimi nilikuwa napita mdogo mdogo nikiwa nimetokea VIVA Tower nikapita upande ule wa NMB kuwakwepa wale vijana wanaobana kwenye kona wakisafisha vioo vya Magari ya watu pale kwenye mataa kuelekea serena hotel.... Am Sure story yako kama ni ya usiku mimi nilishuhudia....

Haaahaaaa,...
​Weeh brother wewe!!!
 
Back
Top Bottom