Bongo itafika namna hii ya kunywa maji machafu.......

MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,444
2,000
Itafika wakati Wabongo watakuwa wanakunywa Maji kam huyu mzee anavykunywa maji machafu.............
We humans cry and crave for some luxurious things that we need without even thanking Allah SWT for what they have, but some people in this world fight, search, and are short of the natural needs even for their survival..
 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,474
2,000
Itafika siku sio nyingi.
Hapo huyo mzee anaona ndo kafiki tena ikibidi ataanzisha makazi kabisa,
Bila shaka hapo alipo anajiuliza kumbe sehemu nyingine maji yanapatikana maji mengi kiasi hicho
wakati wao hawapati hata yakushtulia koo.
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,814
1,250
Itafika wakati Wabongo watakuwa wanakunywa Maji kam huyu mzee anavykunywa maji machafu.............
We humans cry and crave for some luxurious things that we need without even thanking Allah SWT for what they have, but some people in this world fight, search, and are short of the natural needs even for their survival..
I bet you that is Bongo
 
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,820
1,225
Bongo wanakunywa maji machafu siku nyingi tu...tofauti ni maeneo, tunadanganyika kwasababu yanayotoka kwenye bomba.
 
Top Bottom