Bongo Hip hop

Bongo Hip hop

Turudi kwenye Old School Hip hop.






Hivi ni Collabo gani ya HIP HOP haikuwahi kufanyika hadi leo unasema, Kama ingefanyika basi ingekuwa hatari sana.

Naanza Mimi, Collabo ambazo nilitamani kuziona lakini hazikufanyika. Za HIP HOP lakini.


JOSE MTAMBO&JAY MOE.
.
AFANDE SELE&ALBERT MANGWEA
.
LANGA NA NGWEA.
.
FID Q,JOSE MTAMBO.


ONGEZA NA ZAKO...



#forgive Me
Chid benz,one incredible,stereo na izo business moja ya kolabo bora sana
 
Chindo yupo vizur ila kwangu naona jamaa kampiku chindo cos hua hatok nje ya mada akisema anaelezea pombe ujue mpka line ya mwisho.......
Au lile goma lake la unanifurahisha

Ova
 
Mchizi wangu remix.

Oya hivi "Aquelina njoo tulimalize tatizo" ni Bongo hip-hop?
 
Ebhana kuna wimbo wa kitambo kidogo ulikua unahusu ukimwi siujui jina na sio mfuatiliaji wa hiphop na bongo old ila wimbo huo ukianza unasema ilikua ni saa kumi nambili kasoro roboo maneno mengine siyajui maana nilisikia redioni ila ni wimbo fulani wa kuhamasisha watu kuwa makini na janga la ukimwi mwenye kuujua anijuze jina niudownload au niutafute kwenye library za miziki na movies
Ferouz ft prof Jay - starehe.
 
Kuna mtu anaitwa Jcb ndo kingi wa storyteller kwenye hiphop jamaa anauwezo mkubwa sana wa kuelezea mada hua hatoki nje ya mada kwenye ngoma zake....JCBalbam....ukisikia paah paah ujue ekukosa noma sanaaaa
JCB ft jose mtambo ......hii ndo ingekua ngoma yangu pendwa San kama wangefanya
Ukiacha mlango wazo washikaji zako ndo wezi ##jmtamb
Jcb siyo king wa storyteller napinga kabisa wapo wengi sana wamemzidi mbali wa kwanza ni dizasta vina , chindo man , p the mc , Niki mbishi
 
Kuna mtu anaitwa Jcb ndo kingi wa storyteller kwenye hiphop jamaa anauwezo mkubwa sana wa kuelezea mada hua hatoki nje ya mada kwenye ngoma zake....JCBalbam....ukisikia paah paah ujue ekukosa noma sanaaaa
JCB ft jose mtambo ......hii ndo ingekua ngoma yangu pendwa San kama wangefanya
Ukiacha mlango wazo washikaji zako ndo wezi ##jmtamb
Ili uamini hii mzee tafuta ngoma ya dizasta hatia IV ni noma kabisa

Na tafuta ngoma ya p the mc unajipya

Tafuta ngoma ya chindo man story ya nyokaa
 
Nikki mbishi ft prof J
Fid Q ft Nash Mc
Strerio ft Salu T
One inredible ft solo thing
Langa ft Gwair (R.I.P's)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom