Bongo Hip hop

Bongo Hip hop

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Turudi kwenye Old School Hip hop.

Hivi ni Collabo gani ya HIP HOP haikuwahi kufanyika hadi leo unasema, Kama ingefanyika basi ingekuwa hatari sana.

Naanza Mimi, Collabo ambazo nilitamani kuziona lakini hazikufanyika. Za HIP HOP lakini.

JOSE MTAMBO&JAY MOE.
.
AFANDE SELE&ALBERT MANGWEA
.
LANGA NA NGWEA.
.
FID Q,JOSE MTAMBO.

ONGEZA NA ZAKO...

#forgive Me
 
Jose Mtambo na Fid walikaa pamoja kwenye wimbo wa Bata Boy (++ Mangwea ,Babuu)
 
Kuna mtu anaitwa Jcb ndo kingi wa storyteller kwenye hiphop jamaa anauwezo mkubwa sana wa kuelezea mada hua hatoki nje ya mada kwenye ngoma zake....JCBalbam....ukisikia paah paah ujue ekukosa noma sanaaaa
JCB ft jose mtambo ......hii ndo ingekua ngoma yangu pendwa San kama wangefanya
Ukiacha mlango wazo washikaji zako ndo wezi ##jmtamb
 
Ebhana kuna wimbo wa kitambo kidogo ulikua unahusu ukimwi siujui jina na sio mfuatiliaji wa hiphop na bongo old ila wimbo huo ukianza unasema ilikua ni saa kumi nambili kasoro roboo maneno mengine siyajui maana nilisikia redioni ila ni wimbo fulani wa kuhamasisha watu kuwa makini na janga la ukimwi mwenye kuujua anijuze jina niudownload au niutafute kwenye library za miziki na movies
 
Jcb vs chindo man... nahisi chindo ndo greatest story teller
 
Chindo yupo vizur ila kwangu naona jamaa kampiku chindo cos hua hatok nje ya mada akisema anaelezea pombe ujue mpka line ya mwisho.......
Em ntajie ngoma moja ya jcb great story telling nizame utube nw.. achana na paah
 
Ebhana kuna wimbo wa kitambo kidogo ulikua unahusu ukimwi siujui jina na sio mfuatiliaji wa hiphop na bongo old ila wimbo huo ukianza unasema ilikua ni saa kumi nambili kasoro roboo maneno mengine siyajui maana nilisikia redioni ila ni wimbo fulani wa kuhamasisha watu kuwa makini na janga la ukimwi mwenye kuujua anijuze jina niudownload au niutafute kwenye library za miziki na
Kizaa zaa mzoo mzooo
 
Ebhana kuna wimbo wa kitambo kidogo ulikua unahusu ukimwi siujui jina na sio mfuatiliaji wa hiphop na bongo old ila wimbo huo ukianza unasema ilikua ni saa kumi nambili kasoro roboo maneno mengine siyajui maana nilisikia redioni ila ni wimbo fulani wa kuhamasisha watu kuwa makini na janga la ukimwi mwenye kuujua anijuze jina niudownload au niutafute kwenye library za miziki na movies
Unaitwa ( kazeze wa Ocg )
 
Prof. Jay na Mangwair..
kama ingetokea wakafanya kolabo nahisi ingekua babkubwa..

Au kama ipo nikumbusheni
 
Kuna mtu anaitwa Jcb ndo kingi wa storyteller kwenye hiphop jamaa anauwezo mkubwa sana wa kuelezea mada hua hatoki nje ya mada kwenye ngoma zake....JCBalbam....ukisikia paah paah ujue ekukosa noma sanaaaa
JCB ft jose mtambo ......hii ndo ingekua ngoma yangu pendwa San kama wangefanya
Ukiacha mlango wazo washikaji zako ndo wezi ##jmtamb
Kwangu mimi namkubali sana Nikki mbishi kwenye storytelling.

Track kama Nimezama, Playboy na kijusi ni utunzi makini sana. Zote ni story za kusadikika. Mpangilio wa mashairi, midundo, mitambao na Ujumbe ni classic. Mf, Nimezama inavyoanza na inavyoishia ni bonge la catch! Unafikiri story itaisha hivi kumbe inaisha vile. Pia ujumbe wa kuwa the grass is not always greener on the other side. Unaweza ukahustle na mwishowe ukaishia ngome badala ya mafanikio. Inabidi umakini uzidi kwenye hustle zetu.

Nafikiri mchoraji anayechora picha nzuri kutoka akilini kwake ni bora zaidi kuliko yule anayenakili picha iliyopigwa na kamera.
 
Yah nikki pia anajua sana story telling.. ana ngoma flani hv inaitwa sikujua kama... chorus yuko dem flani hivi makiji sana
 
Prof. Jay na Mangwair..
kama ingetokea wakafanya kolabo nahisi ingekua babkubwa..

Au kama ipo nikumbushe
Una ft Ngwea na black rhino

Una-ngozi laini tena ya kung'aa
Una-niua zaidi na hiyo bambataa
Una kila kitu ambacho mi nakipenda
Nataka tuwe wote kila sehemu unayokwenda
___
 
Bongo tulikua na wanahippop bora sana sema bongo Ushamba mwingi sana......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom