Bongo Hip-hop finest lyrics.

Bongo Hip-hop finest lyrics.

Life is a traffic Jam/
Usiniwazie jinsi navyoishi slum/

Sight mo.
 
Marafiki wamekuwa big enemies/
Wanamziki nao wameishiwa melodiz/

Sight mo
 
Kipo sawa kiswahili /
Vina vipo siwezi gawa kibahili/

Raf mc.
 
Mapenz siku hizi bila kugombana hayana stimu/
Niruhusa kushikana ila sio kushikiana simu/

Kubanda.
 
Niliyoyapitia ninajiandaa kwa yajayo... so dalili ya kusinzia ni njaa ukipiga mihayo.... f.i.d
 
Ingundulike Tiffah ni mtoto wa Linex na Zari... Jackline Wolper alikuwaga dalali... Jokate Kidoti ye alikuwa askari... Pettie Man awe wakili hakimu Dimpoz Omar..
 
Mlango sio mlango hadi ufungwe au uachwe wazi/
Urafiki sio urafiki usipochanganywa na kazi/

Kubanda
 
Elimika Nyangema maisha hayaendeshwi na nguo... Pesa ni vazi la mgema haliwezi kuwa na mpasuo... Vaa uaminifu tupa box la kondomu, hip hop haijengwi na bifu underground usijaze fomu... S.T.A.M.I.N.A morotown
 
Hii sio classic ya wasafi
Msosi mezani hii ndiyo classic ya walafi/

By Raf.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom