Nahitaji kupata links za games za kibongo, yani games za kompyuta ambazo naweza kucheza online au hata kudownload, msaada wenu wanadau!
Kuna moja nimesikia sana inaitwa TanzaniaKwetu humo kuna link mbali mbali za kitanzania, nyingine jee?
game za kibongo? Sjaelewa zimetengenezwa na wabongo au website za kibongo lakini game za nje. Kasearch google palisade guardian ipo part 1 na part 2 i think ni best shooter game now unaplay online inaload 2 mb only once