Bongo Fleva ni muziki wa aina gani?

Bongo Fleva ni muziki wa aina gani?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,633
Reaction score
7,021
Je ni kila mtindo unaopigwa na masharo baro au ni muziki wa dansi wa kiswahili uliokolezwa bila vyombo halisi?(Muziki wa kutengeneza kwenye computer?)
Ni kawaida kukuta muziki wa Kwaito ukiimbwa na kijana wa kiswahili unaitwa bongofleva,na hata akipiga Nigerian utasikia watu kuushobokea sana na sifa nyingi kwa bongo fleva ijapo ki ukweli muziki unajina lake!Sasa nauliza tuu,hii bongofleva ni muziki wa aina gani?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hakuna aina ya muziki iliyokuja from no where ni watu tu waliamua kwamba muziki wetu huu tuuite ni aina fulani, ndivyo hivo hivo bongo fleva kwamba muziki wowote ukipigwa na kuwekwa maneno ya kiswahili au ladha yetu basi hiyo ni bongo fleva hivi ndo ninavyojua mimi
 
Back
Top Bottom