anasemajeee.................kuwa mtu mzinma sio kujua kufungua zipu, ila kuwa deep........aseee
kwa hiyo unaweza ukafungua zipu na usiweze kwenda deep sio??
LYRICS "ni wazi watu white ni wezi.........kiujamaa kama azimio la arusha!......... mapolisi politicians wana bagain kama witchmagicians.......... akili zikiwa nyingi ndio unakuwa huru.......... unafikiri kuwa mkubwa tu ni kufungua zipu, kuwa mkubwa yamanisha kuwa deep.........wakosefu ukiwahofu unawatukuza, makofi hayawakuzi watoto yatawaumiza"
Kwa US bongo fleva ninayoiona mara kwa mara kwenye TV ni "Kipi ni dhambi kwa mwenye dhiki" by XPLASTAZ.
Huonyeshwa mara kwa mara Link TV - World Music.
Wamarekani wengi ninaowafahamu huniambia hii nyimbo iko real deep!!
RIP Faza Nelly.
Its one of the best Yes, and we can add
propaganda - FidQ
Ara-City - Fidy, G Nako
Mtazamo
Chemsha Bongo
Hili game
Pengo
Sikati tamaa - darasa
I am a playboy - Nick
darisalama - Chid Benz
maisha ya bongo - 20%
nk