Bonge nyanya

Hapo kuona nailiu mpaka unyanyue hiyo minyama na jeki..........
 
Fahari nya mtu ni raha ya moyo wake
 
hapo taabu kweli mwanamke atakuwa anateseka xana
 
Kupenda ni ishu nyengine jamani.

Jamaa alishapenda mdada ambaye ni chongo akasema anakonyeza mfululizo.
 
usihofu wembamba wa reli kwani unabeba treni, watu na mizigo yao.
 
usihofu wembamba wa reli kwani unabeba treni, watu na mizigo yao.

Kiboko ya boflo itumbukize kwenye kikombe cha chai inaregea unamega kwa ulaini kabisa.
Hata ikiwa kikombe ndogo kama ya gahwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…