Bonge la Zari aisee

Bonge la Zari aisee

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,701
Habarini wadau,

Ijumaa mida ya jioni ya saa12 nimekatiza maeneo ya maili moja stendi kuna kabinti kakaliii kamevaa skin Jeansi ya Blue mpauko na T-shirt ya kumbana kuonyesha shepu yake vema begi la mgongoni kakanipiga mkono nikasimama kakaniomba lift, kakakaa siti ya nyuma.

Kakaniomba simu kampigie mwenyeji wake, akapigaaaaaa weeee jamaa hapatikani wakati huo mi hata sijakasemesha lolote, tukafika maeneo ya Mbezi mi nikamwambia nimefika mtaani kwangu so ye anaelekea wapi? hana majibu kashikwa na kigugumizi nikampeleka Bar flani tukakaa nikamnunulia msosi akaniambia ametoka Dodoma (UDOM) na amekuja Dar kuna jamaa yake walipanga kuonana nae bahati mbaya simu yake akiwa njiani ikazima chaji so akawa hana mawasiliano na jamaa na hajui anapokaa.

Nikamuuliza so unafanyaje? kama vipi twende home akakubali kishingo upande, basi nikampeleka kwangu nikashinda nae hadi leo asubuhi na hakuhangaika tena kumtafuta mshikaji wake nimempeleka Mbezi kachukua usafiri karudi kwao Dodoma shukrani zimuendee jamaa kwa kumleta binti Dar

Nimejiokotea Dodo chini ya Mwarobaini.

FB_IMG_1564142457985.jpg
 
Na kenyewe huko kaliko kanasema kamejiokotea embe dodo chini ya mnazi..ukute kalikosa tu sehemu ya kulala kakaamua kujilengesha kwako kisa una gari..kamekula vizuri na kunywa,kamelala vizuri na nauli kamepata,na raha ya mahaba kamepata yani huko kalipo kanakuona mzuzu kweli wewe..hahaaa
 
we jamaa boya sana aisee
 
Huyo ni malaya kabadili mbinu tu, au labda ulifanikiwa kuona kitambulisho cha chuo?
Hiyo simu aliyokua anapiga ilikua kwenye mkoba wake.
Kuthibitisha hili, jamaa mpaka sasa ivi hajakupigia.
 
We jinsia gani?
 
Huyo ni malaya kabadili mbinu tu, au labda ulifanikiwa kuona kitambulisho cha chuo?
Hiyo simu aliyokua anapiga ilikua kwenye mkoba wake.
Kuthibitisha hili, jamaa mpaka sasa ivi hajakupigia.
Nimeona ID mkuu so najua ninachosema
 
Back
Top Bottom