Habarini wadau,
Ijumaa mida ya jioni ya saa12 nimekatiza maeneo ya maili moja stendi kuna kabinti kakaliii kamevaa skin Jeansi ya Blue mpauko na T-shirt ya kumbana kuonyesha shepu yake vema begi la mgongoni kakanipiga mkono nikasimama kakaniomba lift, kakakaa siti ya nyuma.
Kakaniomba simu kampigie mwenyeji wake, akapigaaaaaa weeee jamaa hapatikani wakati huo mi hata sijakasemesha lolote, tukafika maeneo ya Mbezi mi nikamwambia nimefika mtaani kwangu so ye anaelekea wapi? hana majibu kashikwa na kigugumizi nikampeleka Bar flani tukakaa nikamnunulia msosi akaniambia ametoka Dodoma (UDOM) na amekuja Dar kuna jamaa yake walipanga kuonana nae bahati mbaya simu yake akiwa njiani ikazima chaji so akawa hana mawasiliano na jamaa na hajui anapokaa.
Nikamuuliza so unafanyaje? kama vipi twende home akakubali kishingo upande, basi nikampeleka kwangu nikashinda nae hadi leo asubuhi na hakuhangaika tena kumtafuta mshikaji wake nimempeleka Mbezi kachukua usafiri karudi kwao Dodoma shukrani zimuendee jamaa kwa kumleta binti Dar
Nimejiokotea Dodo chini ya Mwarobaini.
View attachment 1225619