Niamini mimi mwana sikumpa coz kwanza kumhifadhi na kumlisha ni zawadi toshaMjini wanawake ni wabunifu Sana. Natabiri, ulimpa nauli ya Dar to Dom
Unacheka nini sasa😡Ahahahahah
Hujajua tu mkuuNi ile hali unaandika thread ili uonekana mjanja alafu inakuwa vice versa![]()
HamnaaaaUnacheka nini sasa😡
HahahaahUdom si chuo kimefungwa jamani..nyie mnaosoma huko hebu mtuambie

Uyo labda wa zayoniUdom si chuo kimefungwa jamani..nyie mnaosoma huko hebu mtuambie
Haswa!!!!Na kenyewe huko kaliko kanasema kamejiokotea embe dodo chini ya mnazi..ukute kalikosa tu sehemu ya kulala kakaamua kujilengesha kwako kisa una gari..kamekula vizuri na kunywa,kamelala vizuri na nauli kamepata,na raha ya mahaba kamepata yani huko kalipo kanakuona mzuzu kweli wewe..hahaaa