Amba Samedi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2024
- 203
- 335
Sio kweli. Nimezinunua mwenyewe na watoto wanaenjoy kuzitumia. Mswaki wao mzuri kweli. Works as advertised.Hizo dawa wataziona expire date 2023 wakifika home, na mswaki mkali km brush la kusugulia viatu.!!
Nilijuta kutochukua namba yake. Kuna watu wenye vipaji vyao. This guy was one of them.Nikimpata kama huyo ntamlipa pesa ndefu sana kufanya kaz na mm
Soko huwa haijali so much about your product as about your presentation. Unaweza kuwa na product ya kiuchwara, lakini ukabebwa na chutzpah. Tujifunze kuuza (wauzaji wazuri hawafikii asilimia 10 duniani leo).Jamaa kashusha bei, huwa wanauza 5000, na watu wananunua sana tu.
Huwa najiuliza hawa wanunuzi ni kweli kabisa hawazijui hizo dawa au maeneno tu wameingia line.
Kuna wale wauza sabuni pia na dawa za mitishamba za ajabu ajabu nao hivyohivyo, marketing skills tu.
Wapi huko?Nikimpata kama huyo ntamlipa pesa ndefu sana kufanya kaz na mm
AdmittedNilijuta kutochukua namba yake. Kuna watu wenye vipaji vyao. This guy was one of them.
Mbeya. Lexus companyWapi huko?
Ok Safi sana!Mbeya. Lexus company
Ndio maana huwa nawashangaa wale waongeaji sana kwann sio matajiri πππ, maana ni kama dunia ya sasa inawapa favour fulaniSoko huwa haijali so much about your product as about your presentation. Unaweza kuwa na product ya kiuchwara, lakini ukabebwa na chutzpah. Tujifunze kuuza (wauzaji wazuri hawafikii asilimia 10 duniani leo).