Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,675
- 14,356
Wakuu kwema?
Kutokana na kibarua changu nakua nasafiri sana na hii inanifanya nakua nasikiliza sana muziki safarini kwa kutumia earphone au headphones au wakati nafanya jogging kila asubuhi kiasi kwamba nahisi naharibu masikio yangu sasa
Ikabidi nifanye kautafiti na kubaini kuna hizi headphone za bone conduction ambazo huingizi ndani ya sikio bali unaiweka pembeni ya sikio na vibrations za sound zinapita kwenye mifupa na kusikiliza muziki bila kuacha madhara na kuweza kusikia mambo mengine hata mtu akikusemesha
Nimezipenda hizi https://aftershokz.co.uk/prod
Nimeziagiza zipo njiani
Kuna mtu ana uzoefu nazo adadavue zaidi maana hii lugha ya malikia nayo mtihani