Mada Maugo alikua kapania sana na rough zilikua nyingi naweza sena kamchezea hovyo Mandoka japo nikubali pia mwana ana uwezo mkubwa kumshinda mtu kazi.
Hata huyo Madam Maugo pamoja NI wa zamani kashasahaurika, hapo katembelea nyota ya Mandonga.
Mandonga wamtafutie mapambano na wanaojifunza boxer kwenye gym ndogo, Mandonga siyo bondia, Kwa umbo lake angekuwa NI bondia angekuwa hatari Sana, kuna mabondia wazuri lakini wamekosea miili.