Rumble in the jungle....
October 30, 1974 Zaire
Hili lilikua pambano lake dhidi ya Mohamed Ali...
Kule Zaire (DRC) jamaa alifanywa achukiwe sana maana Mohamed Ali aliwaambia wacongoman kua George Foreman ni mbeligiji hivo Ali atampiga ili kulipiza kisasi cha wabeligiji kuwatesa wacongoman kumbuka wabeligiji ndo walikua wanaitawala Kongo...
Siku ya pambano Mohamed Ali alikua na mashabiki rundo wote wakiimba Ali mpige mbeligiji huyo.. "Ali boma ye..."
Na kweli jamaa alikula kichapo kama kahaba aliyefumaniwa...
View attachment 3279887