Bon voyage my darling

Asante sana!!
heshima mbele..
nilimuhitaji sana Heaven on Earth katika mambo yetu! hapo mngeshaa zaidi..

hahahaaa team yangu ilikuwa si ya kitoto atii hata ungemtoa mmoja isinge saidia kitu still tungewagalagaza tu, japokuwa mlijishaua kuwakatisha tamaa na maneno mbovumbovu hahahaaa

wapi Mamndenyi, ulijitahidi mamaa lakini wapi!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
baby! afu ujue kweli, tungefanya kwa nguvu zote mh! aisee sisi wakali eti! kumbuka alhamis(send off) na jumamosi(harusi).
Hizo siku sijafanya kampeni kabisa.
Afu kumbuka tena wewe ulikuwa kwenye party j.pili haukufanya kivile!!

We kumbuka tu

hahahaaa mnajua kujifariji, kama nawaona vile mlivyokumbatiana huku michozi ikiwatoka lol!

Poleni sana jamani, Mungu awatie nguvu na ujasiri muweze kusahau maumivi hahahaaa!!!!!!!!
 
hahahaaa team yangu ilikuwa si ya kitoto atii hata ungemtoa mmoja isinge saidia kitu still tungewagalagaza tu, japokuwa mlijishaua kuwakatisha tamaa na maneno mbovumbovu hahahaaa

wapi Mamndenyi, ulijitahidi mamaa lakini wapi!!!!!!!!!!!

wii ko umeshashinda au mi habari imenipita
 
hahahaaa team yangu ilikuwa si ya kitoto atii hata ungemtoa mmoja isinge saidia kitu still tungewagalagaza tu, japokuwa mlijishaua kuwakatisha tamaa na maneno mbovumbovu hahahaaa

wapi Mamndenyi, ulijitahidi mamaa lakini wapi!!!!!!!!!!!

unajiona kinoma!! ila sisi tumejikubali kinomaaa
 
Last edited by a moderator:
safari njema kiwatengu
mpambano naona ulikua mkali sana asee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…