Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,918 Reaction score 38,241 Aug 30, 2009 #1 Habari zilizotufikia zinasema bomu moja limelipuka jana katika kiwanja cha mtu wakati mtoto wake wa kazi akifanya usafi uwanjani,,,habari zaidi zinasema alipata majeraha kidogo akuna aliekufa............. KAZI KWENU JWTZ tuchachoka na mabomu jamani
Habari zilizotufikia zinasema bomu moja limelipuka jana katika kiwanja cha mtu wakati mtoto wake wa kazi akifanya usafi uwanjani,,,habari zaidi zinasema alipata majeraha kidogo akuna aliekufa............. KAZI KWENU JWTZ tuchachoka na mabomu jamani
O Omumura JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 476 Reaction score 18 Aug 30, 2009 #2 Kama ni kweli, mmmh, yetu macho!