babayah67
JF-Expert Member
- Mar 28, 2008
- 493
- 79
I hope you could bring the statistics about Tanzanias demography
But have you tried to think why that kind of trend is happenning and not vise versa?????
I hope you could bring the statistics about Tanzanias demography
But have you tried to think why that kind of trend is happenning and not vise versa?????
Kumbuka Norway walitawaliwa na Denmark kwa takriban miaka 400 na vile vile Hitler wakati wa vita vya pili vya dunia. Norway ni kanchi kadogo. Hata idadi ya waislamu elfu moja wanatosha kuleta mchecheto. Hadi leo Norway hawataki kujiunga na EU kwa kuogopa "kumezwa"!Sasa hapo ndio sijui logic behind his action- Kati ya watu millioni 5 wa Norway wahamiaji ni 18% tu ambao wengi wao wanatokea USA na nchi nyengine za Ulaya - idadi ya waislam ni 150,000 ambao ni chini ya asilimia 3, sasa kweli hofu yake ni hawa waisilamu kuja kutawala ama kuna mengine yamejificha?
Mh! Wataibuka lini?huyu ni gaidi ila sio wale wa Afghanistan bali hawa ni wale wa kanisani ambao wana msimamo mkali , ni kama KKK wa kule Marekani, kwao wao mtu yoyote asiyekuwa mzungu basi hana thamani na hastahiki haki yoyote ya kuishi katika dunia hii.mgaidi wapo kila dini jamani sio waisalamu tu .....ila wengine kwa sasa wamajificha kidogo.
Hata kama wasomali hawajahusika moja kwa moja lkn wanachangia maana aliyelipua mabomu ndo huyohuyo aliyewashuti vijana wa chama tawala (UVCCM ya Norway) lengo likiwa ni kuonyesha kupinga kwake kuongezeka kwa wahamiaji wa kiislam ulaya.Mhhhhh mzeee acha kuzusha Norway hawana mchango kwenye mission na NATO LIBYA. Mchango wenye impact libya ni wa UK na France.
Inawezekana magaidi wanatafuta weakst link . kama walivyiamua kulipua ubalozi wa USA Tanzania na kenya..
Scandnavia zilijitolea sana kuwapokea wakimbizi wa kisoomali sasa nadhani watafikiria fikiria mara mbili. hata kama sio wasomali wanaohusika.
Good bongolander na hao ndo wanaotujazia vibaka, watoto wa mitaani na majambazi. I wish watu wanaozaa ovyo wangeshughulikiwa na serikali kama ilivyo china.I really don't want to go into the details of this. But there is one element which is eveident among Tanzanians. The more educated you are, less children you have, the less educated you are more children you have.[Not always so] Regardless of your religion and regardless of how much money you have.
There are those (i can call them foolls) who think that as long as you have money you can have as many kids as you want, they have ways to justify that, but it makes no sense to educated people. And there are those who use a quotation in the bible...."nendeni mkazaliane na kuijaza dunia" to have many kids who they can not even afford. Kuna wengine wengi tu hawajui kwanini wanazaa watoto, wanazaa kwa sifa tu au kwa mkumbo. Na vijijini ndio usiseme hakuna knowledge ya birth control.
So, it is very complicated thing, but it will be nice to see what statistics say.
Hajahusika na ugaidi wa kiislam, yeye ni anti-islam crusader kama alivyojitambulisha. Anapinga wahamiaji wa kiislam ulaya. kwa habari zaidi soma yahoo news.Siyo kawaida Mnorway Mzungu ahusike na ugaidi wa Kiislamu. Kuna dalili kuwa hii ni kazi ya right-wing extremists. Mtu huyohuyo aliyekamatwa kwa kuua watu 10 kwa risasi kisiwa cha Utoya alionekana dakika chache kabla ya bomu kulipuka katikati ya Oslo.
Tumia vizuri lugha kama unasema sio wa Afghanistan basi ni wale wa Norway au vinginevyo sema "hawa sio wa msikitini bali ni wa kanisani"huyu ni gaidi ila sio wale wa Afghanistan bali hawa ni wale wa kanisani ambao wana msimamo mkali , ni kama KKK wa kule Marekani, kwao wao mtu yoyote asiyekuwa mzungu basi hana thamani na hastahiki haki yoyote ya kuishi katika dunia hii.
mgaidi wapo kila dini jamani sio waisalamu tu .....ila wengine kwa sasa wamajificha kidogo.
Naungana na mawazo ya bongolander kuwa kila mtu ana definition yake katika imani kwa hiyo huu si mjadala wa kuuendeleza. kwasababu hata hiyo maana ya mlokole uliyoitoa haileweki, kwa mfano mie ni rastafari au mhindu naamini na namwabudu baba wa mbinguni na nina mamlaka ya kuomba na kubadilisha serikali ya nchi inamaana nitakuwa ni mlokole? Kwa upande mwingine basi kumbe wanaojiita walokole sio walokole. Kakobe na wafuasi wake ni walokole lkn waliomba usiku na mchana kuomba umeme usipite karibu na kanisa kwa siku 77 lkn umeme ulipita, je hao walikuwa sio walokole. Put in mind kwamba lengo langu sio kuwaponda walokole bali sitaki walokole wajivike mamlaka ya kuomba na kuwa wao ndo wanaosikilizwa pekee. kila mmoja anaomba na kusikilizwa kupitia imani yake.binafsi naomba nikurudishe uelewe nini maana ya mlokole na freemassons na hapo natumaini utarudi kurekebisha ulichoandika ..wengi watakujia juu lakini si tatizo lako ni ufahamu ..efeso 4:6 watu wangu wanangamia kwa kukosa maarifa..soma luk 4:10-15 angalia akuna sehemu shetan anakaa na mungu hata siku moja ....nini maana yake
freemassons ni shetwani pure
ukisema mlokole unaamaanisha mmiliki namaanisha mtawala mwenye nguvu yaani ana mamlaka ya kuomba na kubadilisha serikali ya nchi na uchumi wa nchi saa yoyote anapoamua kusema na babake wa mbinguni..so lazima ujue akuna mlokole atakaeitwa freemassons hata sikumoja ..so kwa ufahamu wangu ujakosea ila ukujua tofauti ya ulichoandika mungu akubariki wikiendi njema...