Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

nafikiri sasa chama cha magaidi(ccm) kimeshajidhiirisha waziwazi na ushahidi ni kuwa hakuna mtu credible atayekamatwa na wala si mkuu wa mkoa wala polisi watakaoitisha press conference na kutoa majibu ya uhakika zaidi ya blablah kuthibitisha kuwa ni wao ndio wahusika.
 
Ama kweli Tanzania!!! Eee mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo wakiwemo watesi wetu simama upande wa haki ukiyang'oa magamba yoteeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Haya maneno ya jeshi la ccm huwa sina imani nayo kabisaaa!
Hii ni taarifa ya msemaji wa jeshi la Polisi.

" kufuatia tukio lililotokea maeneo ya Soweto mkoani Arusha la mlipuko wa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Said Mwema, ametuma timu maalum kutoka Makao Makuu ya Polisi ikiongozwa na kamishina Chagonja na kamishina Mngulu kwenda kuongeza nguvu mkoani Arusha. Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa eneo la tukio mkoani Arusha.
Advera Senso- Msemaji Jeshi la Polisi".
 
na kwanini polisi wanatumika kuwazima wazalendo na jitihada za mageuzi
 
nawaza sana na kujiuliza sana...huyu mtanzania aliyepewa hii kazi ya kurusha hili bomu amepewa sh ngapi? Au alitegemea nini? Sipati jibu hata kidogo...na ni kwa nn ifikie hapo? Ccm or cuf au na vyama vingine kama ni wao wamehusika wameingiwa na wivu wa namna gani mpaka haya yatoke?
 
Ndugu wana jamvi,binafsi napata wakati mgumu na nashindwa kuelewa haya yanayotokea katika nchi yetu kwa sasa na kusababishwa na siasa zetu za maji machafu ' naomba kuuliza hivi ni kwanini kila mikutano au maandamano ya Chadema huwa hayaishi kwa amani?? Hata hapa jamvini vijana wa Cdm wakikosa cha kujibu huishia kutukana na kutoa lugha chafu kwa CCM na wanachama wake,tupimane kwa hoja na si kwa matusi na kuchafuana' au ndo ukosefu wa maadili na busara kwa vijana wao au ndo kusema hawajafundwa' Chondechonde watanzania tuilinde aman tuliyo nayo kwa gharama yoyote ile"

CCM wamezidiwa kete, imebaki kuwatisha wafuasi wa CDM wasihudhurie mikutano yao maana sisiemu hawana chao tena imebaki propaganda za kutisha na kuwalaghai waTanzania ya kwamba CDM ni chama cha vurugu na fujo!
 
Jiulize mwenyewe hizo fujo uwa zinaanzishwa na nani? Ninaiona CCM ikifanya mazoezi ya kuwa Rebel Movement mara watakapoka madarakani.
 
Bomu limelipuliwa leo katika Mkutano wa CHADEMA Arusha watu kadhaa wamekufa na wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa. Wananchi walimuona mlipuaji walipojaribu kumfukuza ili kumkamata polisi wakaanza kuwatawanya kwa mabomu ya machozi hatimaye mhalifu akatokomea kwa msaada wa mabomu ya machozi ya polisi. Tutawaletea taarifa zaidi kadri tutakavyozipata
Katika Mlipuko huu wa Bomu Arusha wamefariki watu wawili mpaka sasa. Mtoto mmoja na Mama Judith Moshi ambaye aliwahi kuwa M/Kiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Wilaya ya Arusha Mjini na mpaka mauti yanamkuta alikuwa ni Katibu wa Chama Kata yaSokoni 1
Huko Ulanga Katika Kata ya Minepa yenye Uchaguzi CCM wamevamia ofisi ya Kata ya CHADEMA na kuwakata kwa Mapanga Viongozi waliokuwa ofisini humo wakipanga maswala wa Mawakala wa kesho. Waliokatwakatwa na Mapanga na kujeruhiwa vibaya ni M/Kiti wa CHADEMA Jimbo la Ulanga Magharibi Mh.Mohamed Kibamu na Katibu wake Mh. Lucas Lihambalimu hivi sasa wamelazwa hospitalini hawajitambui. TULAANI UNYAMA HUU. "CCM ACHIENI MADARAKA KWA AMANI. TU WAPOLE LAKINI SIO WADHAIFU NA TUNA NGUVU"
Huko Iringa Katika Kata ya Ng'ang'ange Wilaya Kilolo M/Kiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA Lunyiliko Nyaulingo amevunjwa Mkono na kutobolewa na kitu kichwani. Na katika Kata ya Mbalamaziwa huko Mufindi Mwanachama wa CHADEMA amekatwa kichwani na vijana wa CCM na kushonwa nyuzi nane.
 
Ngoja tusubiri habari zaidi kama kuna maganda ya risasi yamesambaa uwanjani basi kuna jambo limejificha.

who are you anyway,siku zenu zinahesabika sana tutatafuta panya wote from Lindi mpaka Bagamoyo hizi roho zilizoondoka hata wajukuu wenu watalipia hizi gharama.
 
nawaza sana na kujiuliza sana...huyu mtanzania aliyepewa hii kazi ya kurusha hili bomu amepewa sh ngapi? Au alitegemea nini? Sipati jibu hata kidogo...na ni kwa nn ifikie hapo? Ccm or cuf au na vyama vingine kama ni wao wamehusika wameingiwa na wivu wa namna gani mpaka haya yatoke?

Kwanini usiwaze 'elements' zile zile za kutafuta umaarufu na headline ZINAHUSIKA?
 
Tazama tanzani sote tushikamane kama wanasiasa tutaendelea kuwaacha wafanye wanavyotaka watavuruga taifa hili kwani mikutano ya chadema inanini.mmmmmmmmmmmmmmh.....hii ni ya kuchunguzwa.
 
Mungi nilikua eneo la tukio, kitu kilicholipuka kimerushwa kutoka kwenye usawa wa zile nyumba za soweto hususani kichochoro kilichokua kinaangaliana na mgongo wa jukwaa kuu(Hii inamaanisha mtupaji alikusudia kulenga kwenye jukwaa kuu).

Nlipokua nimesimama mimi ni karibu meter 20 kutoka alipokua amesimama mrushaji bomu husika, nimeshuhudia mfuko mdogo mweusi(mifuko milaini mara nyingi hutolewa bure dukani) ukirushwa kutoka kwenye usawa wa nyumba za soweto na akilini mwangu nikajua kuna mtu kaamua kurusha mfuko wenye mabaki ya chakula or else, soon na sambamba na mfuko huo uliopdondoka mahala husika ukatokea mlipuko mkubwa na kuna baadhi ya watu wamemuona jamaa aliyerusha mfuko uwo akiwa anakimbia.
kabla sijaondoka eneo la tukio nimewaona makamanda wa chadema waliomuona muhusika wakishirikiana kuvunja geti na kujaribu kuingia kwenye nyumba ambayo mrushaji wa boom anahisiwa ameingia.
sikuweza kuendelea kuwepo eneo husika kwani polisi walianza kutupa mabomu ya machozi.
Hapa inamaana Polisi walipiga mabomu ya machozi kumpa mwanya muhusika kukimbia,inauma sana mtu unaemuamini awe mlinzi wako kumbe ndie adui yako...Hii polisi itajuta kwa haya inayoyafanya,kama serekali inawatoa roho wananchi wake haitakaa iwe na huruma na umaskini wa mtanzania.
 
Mwigulu alikuwepo Arusha au alikuwa wapi? maana wale vijana wake ni hatari sana kwa amani ya Tanzania hasa katika kuwadhuru wananchi wasio na hatia hata kupoteza maisha na kumwaga damu isiyo na hatia. Sasa hivi anauzoefu wa kutosha wa matukio haya. Alianza mtu mmojammoja lakini sasa naonga anaenda mbele zaidi.
 
Juliana Shonza 28 minutes ago ·

Nimesikitishwa sana na mauaji yaliyosababishwa na chadema leo katika mkutano wao. Hivi hamuwezi kufanya mikutano bila damu za watanzania kumwagika?imeshindikana kabisa? Watanzania sio wajinga hivyo kwamba msingizie ni ccm imefanya hivyo wakati ni nyie mmetegesha bomu kwenye mkutano wenu ili muonewe huruma kesho. Chadema muogopeni Mungu,nimeumia sana sana kwakweli mtaendelea kumwaga damu hivi mpaka lini?
Nahisi unafiwa matakoni
 
Back
Top Bottom