Bomu la mwisho kwa Mafisadi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bomu la mwisho kwa Mafisadi...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtarajiwa, Apr 18, 2009.

 1. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,wakati wa malumbano ya Mwakyembe na Rostam,mh.Ole Sendeka aliahidi kutoa bomu la mwisho la kuwasambaratisha mafisadi.Mbona hilo bomu mpaka leo sijalisikia au ni mimi peke yangu?Mzee Ole Sendeka ahadi ni deni kama bado hujalitoa basi tafadhali fanya hima tunalisubiri manake isije ikawa na wewe umelambishwa au kutishiwa bomu na haohao unaowaita mafisadi!
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Sendeka nae atulizane kwanza ....la sivyo ataishiwa soon...maana mwakyembe anajua kuna nini mbele na nyuma yake.....maana alijuamengi sana wakati ule wa tume.....sendeka atulie kwanza ule mzozo hauwezi kamwe......
   
Loading...