BOMU LA ARUSHA: Serikali imeanza kucheza mchezo wa kisiasa?

Napata hasira sana

Kwa jina la mwenyezzi mungu; Poleni wote kwa janga na Msiba huu, Kwanza tendo hili HALIKUBALIKI kamwe na ni tendo la kikatiili kabisa. lina LAANIKA kwa wanaIMANI wa dini zote za mbinguni (ISLAM,CHRISTIAN,JUDISM) ... Hapa muhimu

Wandugu waislam hapa msichukulie kuwa FBI amekuja kuwatuhumu au kuwahusisha Muslims only, NO NO NO siyo hivyo.
hao FBI wanahakikisha kila uwezekano wa kumtambua aliye panga njama nzima na aliyetenda UHALIFU huo wa kulipua.
sasa wandugu kweli FBI hakaribishwi na wengi wetu kimaoni, Lakini je lingetupata msiiba huu kwetu kikweli, tungelikuwa na hali gani na hisia zepi juu ya Masuala ya upelelezi ? na Mengineyo ? Wakati Serikali inajizoazoa nasi ni watu wakutosubiri tija rasmi.....! Tujifikirie na kuheshimu uchungu wa wenzetu.
Ukweli WaKRISTO hawa ni Jirani zetu, Wakabila wenzetu,ndugu zetu, Wananchi wenzetu upo uhusiano mkubwa ambao usioelezeka kimaandishi ni watu WAPOLE,WEMA na wenye UPENDO na kila mwanaAdamu hapa ulimwenguni, hiyo sifa inajulikana hata kwenye vitabu. Kwa hiyo wamevumilia na kuikabidhi wakala husika kupeleleza na ni haki yao watakavyo, Nasi tuombe subira kidogo ili matokeo yafahamike. Mambo mengine yasiyotuhusu tafadhalini tusiya jali wala kushabikia. Janga hili ni usalama wa wote na nchi hi ni ya wote na kila mmoja ana uhuru wa kuamini vyake.
NINGEPENDA KUENDELEA lakini na wengine watoe maoni ya BUSARA na hekima.
Mungu Yaepushe mbali masaibu na balaa kwa Tanzania. amin
 
Unataka kutuaminisha kuwa CHADEMA na WAKRISTO ni adui namba moja wa uislamu nchini!!!!!!!!!!!
siamini hivyo wala siamini usemavyo wewe... naona wenzetu tukio la ARUSHA limewafurahisha kwa sababu mnadhani litawapandisha kisiasa( mlaaniwe kwa hilo). vifo na maumivu ya waTZ wenzetu pale arusha yangetakiwa yatuunganishe zaidi kulikoKwa jina la mwenyezzi mungu; Poleni wote kwa janga na Msiba huu, Kwanza tendo hili HALIKUBALIKI kamwe na ni tendo la kikatiili kabisa. lina LAANIKA kwa wanaIMANI wa dini zote za mbinguni (ISLAM,CHRISTIAN,JUDISM) ... Hapa muhimu

Wandugu waislam hapa msichukulie kuwa FBI amekuja kuwatuhumu au kuwahusisha Muslims only, NO NO NO siyo hivyo.
hao FBI wanahakikisha kila uwezekano wa kumtambua aliye panga njama nzima na aliyetenda UHALIFU huo wa kulipua.
sasa wandugu kweli FBI hakaribishwi na wengi wetu kimaoni, Lakini je lingetupata msiiba huu kwetu kikweli, tungelikuwa na hali gani na hisia zepi juu ya Masuala ya upelelezi ? na Mengineyo ? Wakati Serikali inajizoazoa nasi ni watu wakutosubiri tija rasmi.....! Tujifikirie na kuheshimu uchungu wa wenzetu.
Ukweli WaKRISTO hawa ni Jirani zetu, Wakabila wenzetu,ndugu zetu, Wananchi wenzetu upo uhusiano mkubwa ambao usioelezeka kimaandishi ni watu WAPOLE,WEMA na wenye UPENDO na kila mwanaAdamu hapa ulimwenguni, hiyo sifa inajulikana hata kwenye vitabu. Kwa hiyo wamevumilia na kuikabidhi wakala husika kupeleleza na ni haki yao watakavyo, Nasi tuombe subira kidogo ili matokeo yafahamike. Mambo mengine yasiyotuhusu tafadhalini tusiya jali wala kushabikia. Janga hili ni usalama wa wote na nchi hi ni ya wote na kila mmoja ana uhuru wa kuamini vyake.
NINGEPENDA KUENDELEA lakini na wengine watoe maoni ya BUSARA na hekima.
Mungu Yaepushe mbali masaibu na balaa kwa Tanzania. amin kutugawa kama wapumbavu ninyi mfanyavyo... kwa nini mnashindwa kuwa na utu???

Kwa jina la mwenyezzi mungu; Poleni wote kwa janga na Msiba huu, Kwanza tendo hili HALIKUBALIKI kamwe na ni tendo la kikatiili kabisa. lina LAANIKA kwa wanaIMANI wa dini zote za mbinguni (ISLAM,CHRISTIAN,JUDISM) ... Hapa muhimu

Wandugu waislam hapa msichukulie kuwa FBI amekuja kuwatuhumu au kuwahusisha Muslims only, NO NO NO siyo hivyo.
hao FBI wanahakikisha kila uwezekano wa kumtambua aliye panga njama nzima na aliyetenda UHALIFU huo wa kulipua.
sasa wandugu kweli FBI hakaribishwi na wengi wetu kimaoni, Lakini je lingetupata msiiba huu kwetu kikweli, tungelikuwa na hali gani na hisia zepi juu ya Masuala ya upelelezi ? na Mengineyo ? Wakati Serikali inajizoazoa nasi ni watu wakutosubiri tija rasmi.....! Tujifikirie na kuheshimu uchungu wa wenzetu.
Ukweli WaKRISTO hawa ni Jirani zetu, Wakabila wenzetu,ndugu zetu, Wananchi wenzetu upo uhusiano mkubwa ambao usioelezeka kimaandishi ni watu WAPOLE,WEMA na wenye UPENDO na kila mwanaAdamu hapa ulimwenguni, hiyo sifa inajulikana hata kwenye vitabu. Kwa hiyo wamevumilia na kuikabidhi wakala husika kupeleleza na ni haki yao watakavyo, Nasi tuombe subira kidogo ili matokeo yafahamike. Mambo mengine yasiyotuhusu tafadhalini tusiya jali wala kushabikia. Janga hili ni usalama wa wote na nchi hi ni ya wote na kila mmoja ana uhuru wa kuamini vyake.
NINGEPENDA KUENDELEA lakini na wengine watoe maoni ya BUSARA na hekima.
Mungu Yaepushe mbali masaibu na balaa kwa Tanzania. amin
 
Ccm na waislam ni adui no. Moja wa ukristo nchini

Kama hili tukio ni kweli linamlenga balozi wa Vatican sasa tusemeje? Si bado ni YALE YALE tu? Kwa siku nyingi watu wameiba chrous za "Nchi inaongozwa kwa mfumo KRISTO" Wamejitahidi kumchafua Dr Slaa kwa namna zote na kwa NGUVU zote,kisa alikuwa Padre, kabla kulifanya tukio hili liwe ni la kimataifa tuanzie ndani mwetu miguuni mwetu tuchukuze na tubaini Je! udini ambao kila kuitwapo leo ndani YA TZ unashika kasi ya ajabu hata baadhi ya watu kama Akina Ustadhi ILUNGA kudiriki kutoa CD yenye kutoa maelekezo ya wazi ya kuwahimiza Mjahidina wenzake wawe tayari KUUA maaskofu,makadinari,wachungaji na mapadre, (Cha ajabu mpaka dakika hii ILUNGA hajakamatwa) CCM IWENI MAKINI NA LAZIMA MJUE MUNGU HAJASEMA CCM NDICHO CHAMA PEKEE CHAKUONGOZA TANZANIA MILELE MSIINGIZE PROPAGANDA KWA KILA JAMBO LINALOTUKIA SIKU YAJA MTAUMBUKA SANA.
 
Acha jazba kwenye mjadala wa kistaarabu; jitahidi kuwashinda wenzio na hoja au kujibidisha kuwashawishi kuamini vinginevyo.

mkuu mbona unalazimisha mambo wewe ukweli wako unaoujua basi wasaidie polisi vinginevyo wewe ni mhusika na kuna namna ulivyohusika kwa sababu utakuwa na kitu chako unachokijua na ulivyohusika.
 
Terrorist is not a politics, has you a politician you have to respect the all victim and to be beside them.
 
Back
Top Bottom