BOMU kulipuka maeneo ya Buyuni

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Kuna taarifa kuwa Jwtz wanatarajia kulipua bomu lilijichimbia ardhini maeneo ya Buyuni jijini Dar.mlipuko huo unatarajiwa kutokea mida ya saa 5 asubuhi ya leo.wakazi wa maeneo haya wametakiwa kutokuwa na hofu kwani milipuko hautarajiwi kuleta madhara.

Source:msemaji wa JWTZ on TBC-1
 
Mbuyuni ipi maana hapa Dar kuna mbuyuni zaidi ya moja nijibu fasta maana ndo napita maeneo ya Africana naelekea tegeta nitapita pale mbuyuni
 
VP..yamelipuliwa ama bado? Maana wengine tunaelekea taifa yasije kuelekezwa huku Loh!
 
sasa yanatarajiwa kutokua na madhara au ni kua tahadhari zimeshakuliwa kuhakikisha madhara hayatakuepo?? manake kutaraji je isipokua hivyo??
 
Back
Top Bottom