mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
unasema hivyo kwa sababu bado unaish kwa shemeji,ujui uchungu wa ujenziSheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.
Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.
Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
Aunt yangu ni mstaafu UN,amefanya kazi nchi nyingi,amejenga nyumba ya ghorofa 1,nzuri sana,na matilio mengi kutoka nje,imemgharimu 400 milioni tu,ni ya hali ya juu sana,sasa hapa hivi nyumba ya 1 bilion namimi mbona siioni[emoji15] [emoji15]Sawa, Asante. Tunaokaa kwenye nyumba za tembe Tanzania ndiyo tuko wengi. Sasa utanieleza HUYU Mtanzania mwenye nyumba ya billioni moja anafanya kazi gani? Na JE mapato yake yanaendana na kodi aliyolipa? Ama mumeandika billioni moja kwa kufikilia serikali ya Magufuli itatowa fidia ya billioni moja? Wizi siku hizi sio rahisi. Nyumba kama hiyo itajengwa kwa milioni 150 tu. Ufisadi Umepunguwa. Serikali siku hizi inanunuwa direct hakuna tenda za kununua soda moja elfu hamsini, hiyo ilikwisha na serikali ya Kikwete. Billioni 1 ya Tanzania ni sawa na £340,000 pesa za Uingereza. Sasa pesa hiyo inaweza kununua nyumba aina kama Hii, ambako wajenzi wanapokea mishahara mikubwa, itakuwa Tanzania ambako hata Barbara a hakuna. Hizo bei zilikuwa za serikali ya nne economy fake. Nyumba zilikuwa zinauzwa na bei ya dili, nyingi zikinunuliwa na pesa za dili kutoka serikalini.
Rossett near Wrexham: £199,000 , Sawa na 600,000 Tanzanian Shilling
Sasa fananisha na hiyo nyumba ya billioni moja.
Unaongelea sheria gani, iliyotungwa mwaka gani?Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.
Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.
Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
Jidanganye. Sheria ni msumeno mlizoea kuishi kwa mazoea .lazima mpate shida. Hakuna cha kulaaniwa wala nini. Mambo poa tu.Hakika huu utawala umelaaniwa pamoja na anayeuongoza.Kutoka 60m mpaka 120m na halipwi mtu!!!Iko siku yao na watakufa midomo wazi kwa kuwanyanyasa walio wafanya wao wakawa vinyago.
Mlidhani ni watumishi tu ndio wanaoisoma namba! Awamu hii ni wote mapaka akitoka pale avunje rekodi ya kua Raisi bora aliyewaumiza wananchi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kama hujipendi2019 mapema tutaanza kuwasha moto...
mabadiliko lazimaa
Jidanganye. Sheria ni msumeno mlizoea kuishi kwa mazoea .lazima mpate shida. Hakuna cha kulaaniwa wala nini. Mambo poa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe ni MABOSO!!.Swala linabaki palepale, kujenga kwenye hifadhi ya barabara ni sawa kuteka maji kwa kutumia gunia. Kwa sababu kama unajua sheria zinabadilika mara kwa mara kutokana na mahitaji yaliyopo kwa nini usiwekeze sehemu unayojua haiwezi kuathirika na hizo sheria hata zikibadilika? Unajenga kwenye highway eti unaishia kwenye 60 zilizowekwa na sheria si upuuzi huo. Kwa nini na wewe usiongeze mita zako chache ili kujihakikishia usalama zaidi?
Aunt yangu ni mstaafu UN,amefanya kazi nchi nyingi,amejenga nyumba ya ghorofa 1,nzuri sana,na matilio mengi kutoka nje,imemgharimu 400 milioni tu,ni ya hali ya juu sana,sasa hapa hivi nyumba ya 1 bilion namimi mbona siioni[emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app