Pole yao!!!! signature yako kiboko.Leo tarehe 14.1.2016 Bomoabomoa imeanza kwa wakazi waliopo jirani ya reli ya TAZARA ambapo moja ya vifaa vilivyowasili havitofautiani sana na vile vya ujenzi wa barabara, kilichoongezeka ni ambulance ambayo itakuwa ikibeba wale ambao watapata mshituko.
Wakazi hawa waliwekewa alama ya X tarehe 20/12/2015. They had Only 21 days kutafuta maeneo Mapya.
HAPA NI KAZI TU!!
Umeanza vizuri ila umeharibi mwisho, inaonyesha umeuleta uzi wako kibavicha bavicha!Leo tarehe 14.1.2016 Bomoabomoa imeanza kwa wakazi waliopo jirani ya reli ya TAZARA ambapo moja ya vifaa vilivyowasili havitofautiani sana na vile vya ujenzi wa barabara, kilichoongezeka ni ambulance ambayo itakuwa ikibeba wale ambao watapata mshituko.
Wakazi hawa waliwekewa alama ya X tarehe 20/12/2015. They had Only 21 days kutafuta maeneo Mapya.
HAPA NI KAZI TU!!
Leo tarehe 14.1.2016 Bomoabomoa imeanza kwa wakazi waliopo jirani ya reli ya TAZARA ambapo moja ya vifaa vilivyowasili havitofautiani sana na vile vya ujenzi wa barabara, kilichoongezeka ni ambulance ambayo itakuwa ikibeba wale ambao watapata mshituko.
Wakazi hawa waliwekewa alama ya X tarehe 20/12/2015. They had Only 21 days kutafuta maeneo Mapya.
HAPA NI KAZI TU!!