N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,121
- 10,233
Naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina ameliagiza Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC na Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuwabaini wote waliojenga mabondeni na kuwaandaa kupisha maeneo hayo kabla ya bomoabomoa na kuwachukulia hatua watendaji waliotoa hati za viwanja huku wakijua wanavunja sheria ya mazingira ya mwaka 2004.
Mpina yupo Mwanza ikiwa ni ziara yake ya kwanza kikazi tangu ashike wadhifa huo.
Mpina yupo Mwanza ikiwa ni ziara yake ya kwanza kikazi tangu ashike wadhifa huo.