Ni kweli ni majonzi makubwa kwa watanzania wenzetu. Huruma imekosekana. Mungu ampe hekima jaji Kente.Tarehe 5/1/2016 imepiga hodi. Imefika. Bomoabomoa kurudi tena kuanzia kesho. Usiku wa leo, wakaazi wenye nyumba zenye alama ya 'X' hawatalala usingizi. Utakuwa usiku mfupi na usio na ladha ya pipi. Usiku wa kusubiri kubomolewa makazi.
Leo, usiku utakuwa wa kujiulizauliza na kujiandaa kujiliza hapo kesho na kuendelea. Usiku wa kukumbukwa. Usiku wa kuwaza kilichotokea hadi kitakachotokea kuanzia kesho. Usiku wa leo, watailaumu na kuilaani Serikali na watendaji wake wote bila mafanikio.
Utakuwa usiku wa kujiapiza na kupania kutochagua tena hawa mwaka 2020. Lakini, usiku utasahaulisha kuwa watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau. Waungwana. Kesi kujaribu kusimamisha ubomoaji huo inaunguruma muda huu Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi. Jaji Kente amebaki mwokozi pekee.
Usiku mfupi na wa kuweka kwenye diary!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kibera ni pasua bongo kwa serikali ya Kenya lakini hawajachukua maamuzi ya kubomolea wananchi. Sio kwamba hawatawaondoa. Watawaondoa bila kuwapa maumivu makubwa.Tarehe 5/1/2016 imepiga hodi. Imefika. Bomoabomoa kurudi tena kuanzia kesho. Usiku wa leo, wakaazi wenye nyumba zenye alama ya 'X' hawatalala usingizi. Utakuwa usiku mfupi na usio na ladha ya pipi. Usiku wa kusubiri kubomolewa makazi.
Leo, usiku utakuwa wa kujiulizauliza na kujiandaa kujiliza hapo kesho na kuendelea. Usiku wa kukumbukwa. Usiku wa kuwaza kilichotokea hadi kitakachotokea kuanzia kesho. Usiku wa leo, watailaumu na kuilaani Serikali na watendaji wake wote bila mafanikio.
Utakuwa usiku wa kujiapiza na kupania kutochagua tena hawa mwaka 2020. Lakini, usiku utasahaulisha kuwa watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau. Waungwana. Kesi kujaribu kusimamisha ubomoaji huo inaunguruma muda huu Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi. Jaji Kente amebaki mwokozi pekee.
Usiku mfupi na wa kuweka kwenye diary!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hakika usiku wa leo utakuwa mfupi sana.
Mkuu KESI MAHAKAMANI HIYO INJUCTION IMEKUBALIWA AU IMEKATALIWATarehe 5/1/2016 imepiga hodi. Imefika. Bomoabomoa kurudi tena kuanzia kesho. Usiku wa leo, wakaazi wenye nyumba zenye alama ya 'X' hawatalala usingizi. Utakuwa usiku mfupi na usio na ladha ya pipi. Usiku wa kusubiri kubomolewa makazi.
Leo, usiku utakuwa wa kujiulizauliza na kujiandaa kujiliza hapo kesho na kuendelea. Usiku wa kukumbukwa. Usiku wa kuwaza kilichotokea hadi kitakachotokea kuanzia kesho. Usiku wa leo, watailaumu na kuilaani Serikali na watendaji wake wote bila mafanikio.
Utakuwa usiku wa kujiapiza na kupania kutochagua tena hawa mwaka 2020. Lakini, usiku utasahaulisha kuwa watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau. Waungwana. Kesi kujaribu kusimamisha ubomoaji huo inaunguruma muda huu Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi. Jaji Kente amebaki mwokozi pekee.
Usiku mfupi na wa kuweka kwenye diary!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Tarehe 5/1/2016 imepiga hodi. Imefika. Bomoabomoa kurudi tena kuanzia kesho. Usiku wa leo, wakaazi wenye nyumba zenye alama ya 'X' hawatalala usingizi. Utakuwa usiku mfupi na usio na ladha ya pipi. Usiku wa kusubiri kubomolewa makazi.
Leo, usiku utakuwa wa kujiulizauliza na kujiandaa kujiliza hapo kesho na kuendelea. Usiku wa kukumbukwa. Usiku wa kuwaza kilichotokea hadi kitakachotokea kuanzia kesho. Usiku wa leo, watailaumu na kuilaani Serikali na watendaji wake wote bila mafanikio.
Utakuwa usiku wa kujiapiza na kupania kutochagua tena hawa mwaka 2020. Lakini, usiku utasahaulisha kuwa watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau. Waungwana. Kesi kujaribu kusimamisha ubomoaji huo inaunguruma muda huu Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi. Jaji Kente amebaki mwokozi pekee.
Usiku mfupi na wa kuweka kwenye diary!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
usipende kushabikia vitu kama ivi ndugu yangu hasa kwa mlengo wa kisiasa wanaoathirika ni watanzania maskini waliojibana kupata pesa ya kujenga ivo vibanda serikali kwa sasa wangekua bize ku deal na wanaojenga holela kuliko ku deal na waliokwishaweka pesa zao wengine tena ni za mikopo!!! pekee wanaotakiwa kuvunjiwa ni wale wa mabonden na wanatakiwa wapewe mda kidogo kuhamia kwingineSikio la Kufa.........; kwenye zoezi hili naiomba sana serikali isirudi nyuma
Mahakama imekataa kuwa kichaka cha watenda maovu kisha kutoa simamisho la mahakamaTarehe 5/1/2016 imepiga hodi. Imefika. Bomoabomoa kurudi tena kuanzia kesho. Usiku wa leo, wakaazi wenye nyumba zenye alama ya 'X' hawatalala usingizi. Utakuwa usiku mfupi na usio na ladha ya pipi. Usiku wa kusubiri kubomolewa makazi.
Leo, usiku utakuwa wa kujiulizauliza na kujiandaa kujiliza hapo kesho na kuendelea. Usiku wa kukumbukwa. Usiku wa kuwaza kilichotokea hadi kitakachotokea kuanzia kesho. Usiku wa leo, watailaumu na kuilaani Serikali na watendaji wake wote bila mafanikio.
Utakuwa usiku wa kujiapiza na kupania kutochagua tena hawa mwaka 2020. Lakini, usiku utasahaulisha kuwa watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau. Waungwana. Kesi kujaribu kusimamisha ubomoaji huo inaunguruma muda huu Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi. Jaji Kente amebaki mwokozi pekee.
Usiku mfupi na wa kuweka kwenye diary!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hata mgepewa miaka 7 bado mngelalamika tuu. Kulalamika kumekuwa ni mila yetu ndiyo maana JPM kazema ' Hapa kazi tu'Wezi na wabadhilifu wanapewa muda wa kutosha kurudisha waliyoiba but sisi tunapewa siku mbili@#@#@#@#@#@#@#@#@#@#@#@#@#@#@##@#@@@@@@@@$$%&&-+))+%$#%&-+()&$**;!?;"*¢€=^¢¢®°™©¢"'-:*\^¥¢¢^=÷Π`~•÷×∆∆¶√||``√÷×Π•|||•√√|•|√√÷÷××∆∆×÷Π√|©^¥€£®℅,][℅®©®¥€¢¢©\<>>\€¥°^><©®™©\#%#%-+;;+
kuna kauli kikwete nakumbuka alihisema pale jangwani kipindi kile cha kampeni kwamba mie mpore lakini huyu namjua mie na akampa jina hapo hapo la tingatinga kwa ujinga mkacheka na kufurahi kumbe mwezenu alikuwa na mahana nyingine