idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,438 Jan 6, 2016 #21 Pole sana watanzania baada ya Mr.dhaifu tulihitaji Raisi dikteta . Mungu akatupa magufuli. Tujifunze kufuata kanuni na sheria za nchi.
Pole sana watanzania baada ya Mr.dhaifu tulihitaji Raisi dikteta . Mungu akatupa magufuli. Tujifunze kufuata kanuni na sheria za nchi.
jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,016 Jan 6, 2016 #22 Kichuna said: Nyumba zitakavunjwa tabata ni nyingi sana, mwanzo walisema mita 60 kutoka usawa wa mto msimbazi lakini hawazingatii hilo Click to expand... Kichuna wewe ni Wastara?
Kichuna said: Nyumba zitakavunjwa tabata ni nyingi sana, mwanzo walisema mita 60 kutoka usawa wa mto msimbazi lakini hawazingatii hilo Click to expand... Kichuna wewe ni Wastara?
miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,011 Reaction score 3,708 Jan 6, 2016 #23 Poleni.....wamelipania hilo bonde msimbazi
Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 846 Jan 6, 2016 Thread starter #24 jembelamkono said: Kichuna wewe ni Wastara? Click to expand... Swali gani hili jamani?
Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 846 Jan 6, 2016 Thread starter #25 miss strong said: Poleni.....wamelipania hilo bonde msimbazi Click to expand... Nasikia wanataka kujenga garden
miss strong said: Poleni.....wamelipania hilo bonde msimbazi Click to expand... Nasikia wanataka kujenga garden
Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 846 Jan 6, 2016 Thread starter #26 idawa said: Pole sana watanzania baada ya Mr.dhaifu tulihitaji Raisi dikteta . Mungu akatupa magufuli. Tujifunze kufuata kanuni na sheria za nchi. Click to expand... Kanuni za sheria za nchi kama zipi?
idawa said: Pole sana watanzania baada ya Mr.dhaifu tulihitaji Raisi dikteta . Mungu akatupa magufuli. Tujifunze kufuata kanuni na sheria za nchi. Click to expand... Kanuni za sheria za nchi kama zipi?
Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 846 Jan 6, 2016 Thread starter #27 miss chagga said: pole bwana Click to expand... Asante sana
Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 846 Jan 6, 2016 Thread starter #28 Mjamaa1 said: Pole mkuu. Click to expand... Asante mkuu
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,438 Jan 6, 2016 #29 Kichuna said: Kanuni za sheria za nchi kama zipi? Click to expand... Kama hujui kanuni na sheria za nchi basi hujui kwa nini mmevunjiwa nyumba yenu.
Kichuna said: Kanuni za sheria za nchi kama zipi? Click to expand... Kama hujui kanuni na sheria za nchi basi hujui kwa nini mmevunjiwa nyumba yenu.
Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 846 Jan 6, 2016 Thread starter #30 idawa said: Kama hujui kanuni na sheria za nchi basi hujui kwa nini mmevunjiwa nyumba yenu. Click to expand... Haya
idawa said: Kama hujui kanuni na sheria za nchi basi hujui kwa nini mmevunjiwa nyumba yenu. Click to expand... Haya
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jan 6, 2016 #31 Nyumba 10,000 huko tabata duuuh
wembeee JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 2,708 Reaction score 1,357 Jan 6, 2016 #32 Tangawizi said: Poleni. ..tunajifunza kutokaba na makosa Click to expand... Wwe ndie yule la tangawizi au tofauti?
Tangawizi said: Poleni. ..tunajifunza kutokaba na makosa Click to expand... Wwe ndie yule la tangawizi au tofauti?
M Mjenda Chilo JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 1,471 Reaction score 526 Jan 6, 2016 #33 Wahi kutoa bati milango na madirisha. Ikibidi tafuta mafundi ujenzi wachomoe tofali zako. Mbio za mahakamani sio suluhisho.
Wahi kutoa bati milango na madirisha. Ikibidi tafuta mafundi ujenzi wachomoe tofali zako. Mbio za mahakamani sio suluhisho.
Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 846 Jan 6, 2016 Thread starter #34 Th Name said: Nyumba 10,000 huko tabata duuuh Click to expand... Zinazidi mkuu kuanzia tabata tabata reli, aroma, shule hadi baracuda ukiteremka huku chini ni vilio tu
Th Name said: Nyumba 10,000 huko tabata duuuh Click to expand... Zinazidi mkuu kuanzia tabata tabata reli, aroma, shule hadi baracuda ukiteremka huku chini ni vilio tu
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Jan 6, 2016 #35 Kichuna said: Wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoa bomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio, kweli tunaisoma namba. Click to expand... pole, chaguo lenu wenyewe, wavimbe wapasuke, mtajijua wenyewe, ccm mbele kwa mbele
Kichuna said: Wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojielezea bomoa bomoa imenikuta nyumba zetu mbili za familia zote kuvunjwa ni huzuni na vilio, kweli tunaisoma namba. Click to expand... pole, chaguo lenu wenyewe, wavimbe wapasuke, mtajijua wenyewe, ccm mbele kwa mbele
Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 846 Jan 6, 2016 Thread starter #36 Mtende said: pole, chaguo lenu wenyewe, wavimbe wapasuke, mtajijua wenyewe, ccm mbele kwa mbele Click to expand... Tunaisoma namba
Mtende said: pole, chaguo lenu wenyewe, wavimbe wapasuke, mtajijua wenyewe, ccm mbele kwa mbele Click to expand... Tunaisoma namba
Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 846 Jan 6, 2016 Thread starter #37 Mjenda Chilo said: Wahi kutoa bati milango na madirisha. Ikibidi tafuta mafundi ujenzi wachomoe tofali zako. Mbio za mahakamani sio suluhisho. Click to expand... Alafu nivipeleke wapi?
Mjenda Chilo said: Wahi kutoa bati milango na madirisha. Ikibidi tafuta mafundi ujenzi wachomoe tofali zako. Mbio za mahakamani sio suluhisho. Click to expand... Alafu nivipeleke wapi?
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Jan 6, 2016 #38 Kichuna said: Tunaisoma namba Click to expand... pole ndugu, ila kwa hili la bomoabomoa, watanzanioa wengi wa hali duni wameathirika kwa kiasi kikubwa, hawana pa kwenda na serikali ndo kwanza imefumba macho
Kichuna said: Tunaisoma namba Click to expand... pole ndugu, ila kwa hili la bomoabomoa, watanzanioa wengi wa hali duni wameathirika kwa kiasi kikubwa, hawana pa kwenda na serikali ndo kwanza imefumba macho
bakari bakari 1 Senior Member Joined Jul 7, 2015 Posts 172 Reaction score 36 Jan 6, 2016 #39 Wafanye haraka zoez linasuasua xana wamalizie fasta zilizobaki bana aahh..
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jan 6, 2016 #40 Kichuna said: Zinazidi mkuu kuanzia tabata tabata reli, aroma, shule hadi baracuda ukiteremka huku chini ni vilio tu Click to expand... Sio mchezo aisee. Ni nyingi sana. Jana nilipita kule mchikichini nyumba karibu zote zina X karibu na kiwanda cha bia
Kichuna said: Zinazidi mkuu kuanzia tabata tabata reli, aroma, shule hadi baracuda ukiteremka huku chini ni vilio tu Click to expand... Sio mchezo aisee. Ni nyingi sana. Jana nilipita kule mchikichini nyumba karibu zote zina X karibu na kiwanda cha bia