Bomoa bomoa yaanza Zanzibar

Bomoa bomoa yaanza Zanzibar

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
853
Reaction score
1,638

Vuta nikuvute vilio na simazi vimesikika kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya mjini ikiwemo Jangombe Lofi, Michenzani na Kisonge mara baada ya kuvunjiwa Vibanda na Maduka yao na sehemu za biashara yaliyovunjwa na watendaji wa Baraza la Manispaa la Mjini.

Akitowa ufafanuzi juu ya kadhia hiyo Mkurugenzi Baraza la Manispaa Mjini Hassanat Attai Masoud amesema Wananachi hao wamepewa taarifa muda kuhusu maeneo waliyojenga bila ya ruhusa na kuzidi katika eneo la barabara na kuacha kufanya biashara katika maeneo ambayo hayajaruhusiwa.
 
ccm hoyee
 
Back
Top Bottom