Bomoa-Bomoa ya UFUKWENI si bure


Huu ndio msimamao wa chama chako hata CCM ikifanya zuri ndio jukumu la upinzani wala haishangazi.

Tupe ushahidi kwamba wamelipwa????????????? unaweza kuficha fidia ya watu wengi kiasi hicho!!!! ni siri gani hiyo ya watu wengi hivyo???
 


Huu ndio msimamo wa chama chako hata CCM ikifanya zuri ndio jukumu la upinzani wala haishangazi.

Tupe ushahidi kwamba wamelipwa????????????? unaweza kuficha fidia ya watu wengi kiasi hicho!!!! ni siri gani hiyo ya watu wengi hivyo???
 
hv wanaotishia kuwa 2015 itafika , hawajuwi siasa za bongo? Mmeshindwa hata...kisa 20!5
 
Mama Tiba kaanza kuwatiba wagonjwa sugu...... thanks mama.

Magufuli alifanya hivyo hapa Mwanza tukashangilia kumbe lilikuwa igizo, jamaa aliyebomolewa kituo cha mafuta akapewa fidia ya mamilioni ya fedha na nyongeza ya eneo kubwa la kiwanja, maskini kile kiwanja lilikuwepo soko letu wananchi tuliomshangilia mh. Pombe!
 
polepole..... mama Tiba alishalisemea liko njiani linakuja.

Mama Tiba alishawaita ofisini kwake kuwaambia waondoke wapeshe mkondo wa maji. Hao wa ufukweni nao alizungumza nao.

kumbe matajiri waliitwa ofisini...........unajua walichokiongelea uko ni nini?.........je maskini nao huitwa ofisini kama matajiri?
 
Kama tumekosa vitu vya kuandika ni heri tukae kimya, Kwanza utekelezaji huu wa bomoa bomoa hii umechelewa sana, mtu mwenye akili timamu huwezi kutapeliwa kununuwa kiwanja kwenye mikondo ya bahari na open space. Naishauri serikali hii hii dhaifu ya Mkwele iende mbali zaidi kwa kuwatoza malipo hawa wenye mahekalu walipie gharama za ubomoaji maana wana mihela mingi ya wizi.
 
Kuna ule mjengo mweupe wa kifahari zaidi, mbona sikuona ukibomolewa? ITV walionyesha yale mengine tu. Umebolewa kweli?
 

Rubbish, wenzako wanalia wamevunjiwa wewe unasema wameshalipwa. Uliwalipa wewe?
 
CCM na serikali yake ni kiini macho.
 
Huu ndio msimamo wa chama chako hata CCM ikifanya zuri ndio jukumu la upinzani wala haishangazi.

Tupe ushahidi kwamba wamelipwa????????????? unaweza kuficha fidia ya watu wengi kiasi hicho!!!! ni siri gani hiyo ya watu wengi hivyo???
kitu kama kimefanyika kizuri ntasifia ingawa imekuwa ngumu kuamini mana usanii umezidi kiasi kwa kuniwia vigumu kama kile kilichofanyika ni cha kweli au usanii ingawa mimi naamini ule ni usanii tu siwezi badili hilo.

kwanini washindwe kuficha hiyo siri.............kwasasa watafanikiwa ingawa muda ukifika ukweli utakuja kujulikana tu trust me.
 
Kanuni/sheria na taratibu zote zimefuatwa, na kama wanastahiki malipo ni haki yao.
 

Migomo ndiyo umeona jambo muhimu kwako kuliko kujenga kwa kufuata sheria?
 
serikali yetu ina danganya toto za kijinga sana
 
wakimaliza wanaenda kubomoa nyumba za maskini zilizo kwenye hifadhi ya road..
 
Ubomoaji wa myumba za ufukweni ni danganya toto maana tayari watu wameshalipwa stahili zao, kinachofanyika ni danganya toto kama ni kweli mbona wamiliki hawaja onekana kwenye nyumba zao? wameonekana wapangaji na vibaka waliokuwa wanajichukulia mabati.
 
Kweli kabisa, maana kama ni kweli basi wakabomoe DoubleTree ambapo wamejenga hadi kwene maji
 
Hivi fidia kwa gorofa la Empire Properties lililobomolewa mwaka 2006 hapo Masaki kwa amri ya Lowasa imefikia wapi
 
Rubbish, wenzako wanalia wamevunjiwa wewe unasema wameshalipwa. Uliwalipa wewe?

wHY SHOULD THEY CRY WANAVUNA WALICHOPANDA kwani kwa muda mrefu ITV imekuwa ikifuatilia ujenzi wa hizi nyumba maeneo ya fukwe huku wamiliki wakionyesha kiburi cha hali ya juu. Usitegemee upande mahindi uvune mpunga "you reap exactly what you sow" . Wangeachana na huo ujenzi wa kifisadi wasingejutia kupoteza fedha zao. Ni zamu yenu mafisadi na eleweni bado kilio kikubwa zaidi kinakuja na itafika mahali wakubwa na wadogo watakuwa na equal treatment katika nchi yao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…