Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,646
- 164,798
a iseee...kumbe bomoa bomoa inasimamiwa na UKAWAHii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la Jambo leo la leo tarehe 06/01/2016 ambalo limeandika "Lwakatare,Mengi waponea tundu la sindano."
Gazeti hili pia limenunuliwa na Manji.
Chanzo:Jamboleo
Hii ndio Tanzania bwana!
UKAWA, tunataka kusikia maoni yenu maana Dar kwa sasa iko chini yenu.
Katafute gazeti.Bavicha kwanini usilete habari kamili? kwanini unaleta kidaku? Bomoa bomoa haifanywi kuwakomoa watu..
Nilijua kuwa zoezi lile ni kuwakomoa WALALA HOI TU tutaisoma namba mwaka huuHii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la Jambo leo la leo tarehe 06/01/2016 ambalo limeandika "Lwakatare, Mengi waponea tundu la sindano."
Gazeti hili pia limenunuliwa na Manji.
Chanzo: Jamboleo
Hii ndio Tanzania bwana!
UKAWA, tunataka kusikia maoni yenu maana Dar kwa sasa ni kama iko chini yenu mkiwa na madiwani wengi.
Madiwani wa UKAWA katika vikao muwabane wakurugenzi watoe sababu za hizo nyumba kutovunjwa.
Ndio shukrani ya Magu hiyo!nI
Nilijua kuwa zoezi lile ni kuwakomoa WALALA HOI TU tutaisoma namba mwaka huu
Kanywe VIROBA,Unajivunia kuwa MLALAHOI..............nI
Nilijua kuwa zoezi lile ni kuwakomoa WALALA HOI TU tutaisoma namba mwaka huu
Shukrani kwa wema gani mlimfanyia? Nyie someni namba...Hakuna namna. Wambieni UKAWA wawajengee nyumba kwenye maeneo yaliyopimwa....Hatutaki wavunja sheria hapa Dar. Mlimchagua Mamvi ili aendelee kulea lea genge la wavunja sheria sio?Ndio shukrani ya Magu hiyo!
Wakati wanavunja sheria mlikuwa wapi?Nani wa kusimamia sheria?Mko madarakani kusimamia sheria au kusubiri watu wavunje sheria na kisha muwaazibu?Hao wenye hela hawajavunja sheria?Ovyo kabisa nyie watu!Shukrani kwa wema gani mlimfanyia? Nyie someni namba...Hakuna namna. Wambieni UKAWA wawajengee nyumba kwenye maeneo yaliyopimwa....Hatutaki wavunja sheria hapa Dar. Mlimchagua Mamvi ili aendelee kulea lea genge la wavunja sheria sio?
Shukrani kwa wema gani mlimfanyia? Nyie someni namba...Hakuna namna. Wambieni UKAWA wawajengee nyumba kwenye maeneo yaliyopimwa....Hatutaki wavunja sheria hapa Dar. Mlimchagua Mamvi ili aendelee kulea lea genge la wavunja sheria sio?
Shukrani kwa wema gani mlimfanyia? Nyie someni namba...Hakuna namna. Wambieni UKAWA wawajengee nyumba kwenye maeneo yaliyopimwa....Hatutaki wavunja sheria hapa Dar. Mlimchagua Mamvi ili aendelee kulea lea genge la wavunja sheria sio?
Najivunia ULALAHOI kwa vile nimefanywa niwe hivyo na sina njia ya kujivua.......hata hicho kiroba cha kuzidi kuuvaa huo ulalahoi bahati mbaya sina uwezo nacho! mie sio mwana wa mbele kwa mbele!Kanywe VIROBA,Unajivunia kuwa MLALAHOI..............
Wasio na sauti ndo wanaoumia, wamewatumia kipindi cha uchaguzi sasa hawana thamani hadi 2020
Wewe bibi kizee jiheshimu.koma ukomae aliyesema nyumba za ukawa zinabolewa tu nani? Nyie ndo mnajenga chuki.