TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Bomoa bomoa, Iliyofanywa Tanzania mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu Tanzania, Ni Mbinu ambayo CCM na Mataifa Kadhaa ya Africa Wamekuwa akiitumia Kuwatisha, Kuwakomoa, Na kuwakomoa wananchi wa Mijini ambao wamewakataa Kwa Kura za.
Ushahidi ni Upi? Mwaka 1995 Mara baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, Wananchi wa Ubungo walimchagua Dr. Masumbuko Lamwai, Kaka wa Joseph Selasini ambaye sasa ni Mbunge wa Rombo. Lamwai alikuwa akitokea NCCR mageuzi. Serikali ya Mkapa, Chini ya Waziri Magufuli walibomoa ovyo nyumba za watu hata zilizokuwepo kabla ya Uhuru kwa Madai ya Kupisha njia Upanuzi wa Barabara ya Morogoro.
Wananchi Hao Walipoomba Fidia, Mkapa alisema hawezi Kulipa Wahalifu! Sasa Bomoa bomoa inafanywa kwa madai ya kubomoa maeneo ya mabondeni lakini bila kujali watu wanaobomolewa wataenda wapi. Na wengine Kuelekezwa Kuvamia Mashamba ya Wale walioonekana Maadui au wasaliti wa CCM.
Wakati wa Matatizo ya Kisiasa Zimbabwe, TIS walikimbia haraka Zimbabwe Kusaidia Mikakati ya Kusaidia Mugabe Kubakia Madarakani Na Baada ya Kushinda walimfundisha Kufanya hayo hayo. Kubomoa Nyumba za watu masikini wa Mijini waliompigia Kura Morgan Tvangarai. Na wakabatiza Zoezi hilo operation murambatsvina.
Pia Hii Ni mbinu chafu ya Ku redistrict serikali za Mitaa, Maana kwa Kuwaondosha watu maneo ya ili kudhibiti KURA
Kubomoa Nyumba za Wana Dar es salaam,
Bomoa Bomoa ya Harare Zimbabwe Zimbabwe,