Bomoa bomoa kuendelea nchi nzima

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Ni kwa wale waliojenga maeneo yasiyostahili pamoja na wale waliojipatia vibali hivyo kwa njia za mkato na kujenga maeneo yasiyostahili.

Ni taarifa toka Wizara ya Ardhi na Makazi kupitia Chanel Ten habari.
 
Idadi ya mashetani inaongezeka safi sana.Hakuna kwenda mbinguni.
 
Mkuu, taarifa ni ya Wizara ya nchi hani, maana Wizara ya Ujenzi na Makazi haipo Tanzania!
 
Kwani tokalini ccm mlijenga nyumba?
 
wabongo wabishi sanaa, wabomolewe tu, hakuna namna, kama waliambiwa wasijenge karibu na vyazo vya maji, maeneo ya chemichemi, wao wakajenga zitabomolewa tu
 
Magufuli ana utani ngoja tuanze kuitisha maandamano nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…