Watanzania wengi hatupendi ukweli,ndio inasikitisha sana kuona makazi ya watu yakibomolewa bila Huruma lkn yote haya yamesababishwa na wajanja wachache waliofanyiwa tathmini miaka ileee kisha wakalipwa na kwa janjajanja kwa kushirikiana na maafisa watendaji wasio waaminifu wakauza tena kwa wenzao ambao Leo wanahisi wameonewa.
Lkn pia hata waliolipwa walijisahau na kutumia pesa kwa mambo mengine wakiamini hakuna chochote kitakachofanyika.
Ifike wakati tufanya upembuzi yakinifu kabla ya kujenga eneo lolote.
Sent using
Jamii Forums mobile app