Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
Waungwana angalieni hii video! Utaweza kuelewa uwezo wa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar, ulipofikia kikomo, na kibaya zaidi ndio pia inaonyesha a true reflection ya uongozi wa awamu hii, Yaani total disregard, concern of others, when the camera rolls they have to put up a show.
Yaani anapingana na kubishana na sayansi, watu wanamshauri ya hatari anachokifanya lkn kwa jeuri na kiburi, alikua busy kutaka kuvunja wasaidizi wake miguu, despite ya ushauri na hatma yake makelele aliyokua anapigiwa, im paraphrasing "ee bwana kuna g force, utatuvunja miguu, ukuta huo uko inclined to an angle utajidhuru wewe na sisi, ambao hata hatuhisiki, usiwe mkaidi, usibishane na physics" lkn wapi all the well intended advice falls onto the deaf ears.
Halafu cha ajabu alipopata ufahamu ya kweli ipo kitu inaitwa 'g force' basi aliamua kuweka mkono wake kujaribu kuzuia, what would have been a disaster, imagine headline Mkuu wa Mkoa kavunja wasaidizi wake miguu na yeye mwenyewe yuko Muhimbili kwa kupingana na fundamental law of physics.
Lakini wapi, hasikilizi la mtu, la sayansi, wala la Newton. Kweli darasa muhimu sana sana.