Awali ya yote napenda kuwapongeza watumishi wote wa wizara ujenzi wakiongozwa na mh Magufuli. Sina tatizo na utekelezaji wa majukumu yao, ila ninashindwa kujua ni utaratibu gani wanayotumia katika kutekeleza zoezi hili LA bomoa bomoa kwani inashangaza kuona maeneo kama Kibamba watu wanaendesha shughuli zao barabaranina hata kuongeza majengo mapya, kujenga baa, kufyatua matofali, kuosha magari nk.
Ingependeza kama zuio hili lingekuwa kwa watu wote bila upendeleo.
Ingependeza kama zuio hili lingekuwa kwa watu wote bila upendeleo.