Bombardier yatua nchini.

ohhhpppsssss........
kumbe leo weekend ndio inaanza....
 
ingekuwa iliwahi wiki mbili nyuma ingemlahisishia mh.nape kuwajibu wananchi wa mtama..!
 
Hao watauza balaaa maana wametumia fursaaaaa
 
Hahahaha sasa ole wao fisi walafi wa UFIPA. Mvinyo murua kabisa huo. Mkiufakamia 2020 mtaviringisha miguu badala ya mikono. Teh

Na nyie mazezeta lumumba kwa kuzungusha viuno hamjambo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…