Ikitokea ATCL ni nongwa lakini ikiTokea mashirika mengine sawa tuMimi sishangai nadhani kuna siku itafahamika kwamba hizi ndege ni tatizo.
That is not my concern..the key issue here is why are we not ready to accept the truth that Bombardier Q400 ni kimeo? Hizi ni ndege zinazotengenezwa special for irrigation purpose and not kubeba abiria.Ikitokea ATCL ni nongwa lakini ikiTokea mashirika mengine sawa tu
Kaka mnataka kumpa kazi Mungu tu, kitu kama kina shida inapaswa kufanyiwa marekebishoTuziombee ndege zetu"
Bado makubwa yanakuja.Kama nawaona Bawacha na Ukawa wanavyo fanya sherehe.
Kwani ndo walimwambia raisi anunue hizo Pangaboi?Kama nawaona Bawacha na Ukawa wanavyo fanya sherehe.