Bomba La Mafuta: Total SA yasitisha rasmi mpango wa kujenga bomba la mafuta la Tanga-Hoima

niulize kitu hapa.. hivi sisi Tanzania hatuna vyanzo vya upatikanaji haya mafuta ghafi ili tuchimbe wenyewe badala ya kuwa mgongo kutumika kupitisha maendeleo ya nchi jirani badala tujitafutie sie wenyewe?
Hakuna malighafi ambayo watanzania hatuna
 
Mkataba Wa tanzania Kilatha ameuona? Hehehe
Ndio maana kila siku nasema watu walau wawe na background knowledge ya vitu kwanza kabla ya kuanza majibizano.

Ni hivi mkataba una aina mbili za terms
(I) ‘expressed terms’ ambazo ni makubaliano ya party involved on value of exchange na other conditions za mkataba.

(II) ‘implied terms’ zipo za aina mbili customs terms na statutory terms. Hivyo basi sheria husika za nchi zina nguvu kubwa ndani ya mkataba ambazo lazima ziwe sehemu ya terms na usipoziweka wakati unaingia basi unatoa mwanya rahisi sana wa kuvunja mkataba au mahakamani unaweza kuwa unforceable ukienda kuishitaki serikari.

Sheria zetu za mafuta in terms of contract zinalenga framework za Production Sharing Agreement. Sasa ni jukumu lako kuelewa clauses zinazoendana na mikataba ya aina hiyo.

Ndio maana kwenye sheria zilizopitishwa kwa hati ya dharura zina majedwali ya ujazo wa visima jinsi mapato yatakavyo gawanya na share zitakavyobadilika kwa kadri mwekezaji anavyorudisha hela yake inataka uelewa specific za hizo frameworks uone serikari ilikuwa inajikinga na nini.

Sasa kama ulikuwa uelewi hizo ni implied terms za mkataba at least kwa ile ambayo ilikuwa aina makubaliano rasmi kabla ya sheria kutangwa. Kwa hivyo uitaji kuona details zote za mkataba kujua what the government will earn watu wakianza kuchimba.
 
Ulaya ya Leo wote ni matapeli Tu TATIZO linakuja pale viongozi wetu wanapojipa matumaini yaliyopitiliza bila kujua kesho yake.,..
Hawa viongozi wetu wajifunze kufanya siasa Safi vinginevyo Hali itazidi kuwa mbaya hivihivi mwanzo mwisho
 
zile mbwembwe za Meko zimeyayuka gafla atakufa kwa mshtuko hajamalizia kujisifia la ndege na mkulima anapigwa nao mwengine ma.ma eee
 

This is a big blow to Uganda and Tanzania. Normally, when big guys move away, they scare everybody. Who is going to team up with Tullow in the next team formation for the project? Don't tell me Chinese...it would be the pain in the ass
 
Hapa sijui kwanini sijaelewa!! why are they selling shares to the remaining stakeholders and proceeds from the sale of shares get re-invested in the same project? Pascal Mayalla najua umesomea haya mambo naomba msaada.
Ulichosema mku ndo wanataka kukifanya wauze shares walipie gharama za mradi. Wanaweza kununua wenzie au kuuza kwa wengine ili mradi pesa ipatikane wafanye vitu vyote kwa pamoja maana wote wana hisa sawa 33.3% na wako watatu.
 
Hii sana sana ilikuwa project ya Uganda,kwa hiyo kwetu sio deal saana.Ofcourse watu wetu wangepanda tuvibarua huko,lakini kwetu it is not a major set back.It is however a big set to Uganda.
 
This is a big blow to Uganda and Tanzania. Normally, when big guys move away, they scare everybody. Who is going to team up with Tullow in the next team formation for the project? Don't tell me Chinese...it would be the pain in the ass
Do not overly blow the situation out of propotion.The breakdown of the deal is not a big setback to Tanzania.This was a Ugandan Project,Tanzania was only going to benefit through land provision,employment oppotunities and other misceleneous activities.So you see it's not a big deal to Tanzania.
By the way if the deal between Total SA and Tullow has broken down,I do not see why the Chinese should not be invited to take up the Project,they are good after all,inspite of the West always unnecessarily and unfairly demonizing them.Unfortunately you are also doing the same.
 

It is a blow for our teams that were set up for the project. After the hard work, they are demobilizing without going to the phase that would be beneficial economically.
Chinese are for China. They will just take the black gold for free. They will do everything themselves. Yes, western countries have issues.... but the magnitude of Chinese run economic problems is incomparable
 
Kwa ninavyomjua Magufuli huo mradi utatekelezwa kwa mfumo tofauti.

Kwenye mambo ya fursa za kiuchumi, Magufuli utumia njia zote bila kujali maumivu kiasi gani Nchi itapata ikiwa na manufaa ya kizazi kijacho cha Tanzania.

Si ajabu kashapata solution anamsubiri tu Museveni aje amwambie.

“Huu mradi tutautekeleza wenyewe kwa pesa zetu” in magufuli’s voice

Lets wait and see but that is my prediction
 
Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…