sisi tuko busy kupora madaraka, juz tumepora zanzibar leo bahati mbaya jiji la dar limetuponyoka
Suala lote lipo mikononi mwa Museveni. Nadhani Uganda ndiyo wenye uamuzi wa mwisho. Kama mkwere angekuwa makini siku za nyuma, wala tusingefika hapa kuanza kugombania mradi huo na wakenya. Toka mwanzo, waganda waliona unafuu wa bandari ya Tanga lakini Tanzania ilikuwa haisomeki.
Magufuli kaonyesha msimamo thabiti na Museveni ameshawishika japo kulikuwa na mazungumzo ya awali na Kenya baada ya kuona Tanzania inavuta miguu chini ya JK.
Naamini Uganda wapo wana haraka ya kuanza kuuza mafuta yao na mradi wa Tanga ndiyo inaweza kuhakikisha hilo.
Tumeshasaini sie😛
Mkakati ulenge kwenye kuhakikisha mwekezaji anapunguziwa sana gharama za uwekezaji. Na kujengewa mazingira rafiki kuliko Kenya katika ujenzi huo. Ukijua adui yako Ana siraha gani Na amejificha wapi ni rahisi kupanga mbinu za kummaliza. We need to act strategically fast and get the project underway ASAP.Kikao cha jana kampuni ya Total ilieleza sababu za kuhamishia mradi Tanzania ikiwemo, Tanzania gharama za fidia ziko chini ukilinganisha na kenya, pili wakijenga kenya itabidi pia wajenge bandari katika eneo la lamu tofauti na Tanzania ambapo bandari ipo tayari. Mradi kwa Tanzania utaenda kasi ili ukamilike kabla ya 2018 ambapo uganda itaanza kusafirisha mafuta yake.
Kenya wamejibu na kusema kuhusu fidia kenya itashughulikia kwahiyo hiyo sio sababu na ujenzi wa bandari wamesema Tayari kuna ujenzi wa bomba la kutoka sudan ya kusini kwenda lamu hivyo hilo sio tatizo kwani haitakuwa sehemu ya huo mradi. Kuhusu uharaka wa mradi wamesema wanao mradi wa ujenzi wa reli mpya unaoenda kwa kasi hivyo nahuo utakuwa na kasi ileile.
Sasa sie tumejipangaje kupangua hoja za kenya ili mradi uendelee kuwa Tanzania?
kama wameamua bomba lao wafanye kama mnada yupi atakubali lipite kwenye nchi yake kwa gharama nafuu nadhani tujipange kupangua hoja za waganda na tukubali kupunguza gharama kama zipo, kwa sasa ili kuwavutia waganda.
Mkakati ulenge kwenye kuhakikisha mwekezaji anapunguziwa sana gharama za uwekezaji.